Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

Kongo tu wameshindwa wataweza huko haiti Ambako raisi alipigwa risasi na kibaka?
Hata sijui unaongea vitu gani! Rais gani alipigwa risasi na vibaka?

Halafu kule Haiti ni vikundi vya uhalifu siyo kama M23 ambao wana mafunzo ya kijeshi.
 
Sahvi naona raia wamewachoka 😄

Ova
 
Hapo sikuungi mkono, unatoaje msaada kwa mtu ambaye hataki kuisadia nchi yake?.

Huyo waziri mkuu alichukua madaraka baada ya Rais kufariki baadaye alitakiwa aitishe uchaguzi but kagoma na kavembewa na madaraka, anasingizia usalama, HOW?.
 
Yooote umeeleza, swali linakuja kwanini iwe rahisi kufitinishwa sisi weusi tofauti kabisa na watu wa rangi nyingine? Weusi tuna shida kichwani.
 
Ruto is a useful idiot
Anawatoa kafara askari wake kwa tamaa ya vihela vya Marekani alivyoahidiwa.
 
1994 sio 2024
Resistance ya sasa ni kubwa
 
Sahvi naona raia wamewachoka 😄

Ova

Sana kwa kuwa sasa kuna majambazi yaliyovaa mashati meupe, tai na suti waliopo ikulu na ofisi za serikali walioingia madarakani kwa mtutu wa bunduki huku pia hawaku chaguliwa kwenye uchaguzi wowote huru Haiti na wanataka kubaki madarakani kwa hila ya kutotaka katiba mpya.
 
Ukifika tu kulaumu beberu naona umeishiwa hoja
Hebu mwaga hoja zako zenye mashiko mkuu. Maana Kuna mtu anataka kuzimq hoja ya mtu Kwa kuleta neno Moja. Let convincing arguments halafu watu watasoma watakuunga mkono au la. Unahisi Haiti Ina tatizo gani ,mbona jirani yake Dominican republic Hana changamoto kama za Haiti. Ulishawahi kujiuliza. Au hata georgraphically hujui location ya Haiti. Welcome on board
 
Ni kweli viongozi wetu wanapaswa kufata sheria na maadili yao ya uongozi, kwa Tanzania bado sana hata mimi na wewe tunaweza kuwa tumeshatangulia mbele za haki,
Ila kwa hichi kizazi kinachotengenezwa sasa hivi kiukweli kinakuwa katika mazingira ya chuki!! kuna gepu kubwa sana linakuwa kwa walichonacho na wasichonacho na tunachukulia poa!
 
Hivyo vikundi vya uhalifu ni vibaka wenyewe
Hakupigwa risasi na vibaka yule rais Jovenel Moise. Ni mercenaries 28 kama sikosei. Wengi wao wakiwa ni wanajeshi wastaafu wa Colombia.

Wewe unasema rais alipigwa risasi na vibaka. Unamzungumzia Jovenel?
 
Duuh
 
Wycliff Jean yuko wqpi sikuhizi?
Alitakakaga urais hapo
 
Hakupigwa risasi na vibaka yule rais Jovenel Moise. Ni mercenaries 28 kama sikosei. Wengi wao wakiwa ni wanajeshi wastaafu wa Colombia.

Wewe unasema rais alipigwa risasi na vibaka. Unamzungumzia Jovenel?
Raia wa Colombia wakavuka kuja kumuua Rais wa Hait kwa malengo yapi mkuu. Tuelimishe
 
Naona Ruto kachomoa waya nae
Cheza na nguvu ya wananchi wenye njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…