Mimi Wewe Yule
Member
- Nov 20, 2021
- 29
- 153
Izrael Wana target Sana. HATIMAYE hili Sporter kuu la magaidi nalo limeingia kwenye 18Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya mkuu wa Houthi.
Don't play with mossadImeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya mkuu wa Houthi.
Wana kitu gani miaka miwili hawajapata mateka hata mmoja pale Gaza...Don't play with mossad
Peleka puaWana kitu gani miaka miwili hawajapata mateka hata mmoja pale Gaza...
Waonyeshe u mossad wao Gaza.. kila siku IDF wanauawa na kupigwa ambush Gaza...
Fuatilia uone IDF wanavyopigwa ambush Gaza na kumalizwa...Peleka pua
Hapo ata ukiambiwa uolewe au utanue papa hao mossad waingie naona roho nyeupeDon't play with mossad
Yes Exactly. Never ever mess up with mossad.Don't play with mossad
Habari kutoka Aden hahahaha wanao wapinga Al Houth hahaha mmeishiwaImeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya mkuu wa Houthi.
Kituo cha televisheni cha Al-Jumhuriya cha Yemen kimeripoti kuwa Waziri Mkuu wa waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran, Ahmed al-Rahawi, ameuawa katika ghorofa moja mjini Sanaa wakati wa mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel jana.
Gazeti la Aden Al-Ghad limeongeza kuwa Rahawi aliuawa pamoja na wenzake kadhaa.
-----------------
Yemen’s Al-Jumhuriya channel reports that the prime minister of the Iran-backed Houthi rebels, Ahmed al-Rahawi, was killed in an apartment in Sanaa during the Israeli strikes yesterday
The Aden Al-Ghad newspaper adds that Rahawi was killed along with several of his companions
It appeared from the reports to have been a separate strike from the one yesterday that was said to have targeted 10 senior Houthi ministers, including the defense minister, as they gathered in a location outside of Sanaa to hear a planned speech by the group’s leader, Abdul Malik al-Houthi
The outcome of that strike has yet to be made clear
Source: Times of Israel
ExactlySasa akifa kwani kuna shida gani? Watu wanapoingia vitani wanajua kabisa kuwa kuna kufa so ni kipi cha ajabu hapo. Si anateuliwa mwingine tu. Mbona Magufuli kafa na nchi haijasimama.
Umeonaje pale Iran baada ya rais wao kufariki mwaka jana je kuna mabadiliko yeyote?
Nyie ni wapuuzi tu. Yemeni ina mamiioni ya watu na wapo watakaochukua hizo nafasi hata wakiua 100 zitajazwa na vita iatendelezwa ilipoishia
Safi sana, Wayahudi, wenzangu, kimbiza kabisa hayo ma Islamists,Izrael Wana target Sana. HATIMAYE hili Sporter kuu la magaidi nalo limeingia kwenye 18
Hi mikenge mivaa misalaba akili zao ziko kama misalaba yachukulieni tu yalivyoSasa akifa kwani kuna shida gani? Watu wanapoingia vitani wanajua kabisa kuwa kuna kufa so ni kipi cha ajabu hapo. Si anateuliwa mwingine tu. Mbona Magufuli kafa na nchi haijasimama.
Umeonaje pale Iran baada ya rais wao kufariki mwaka jana je kuna mabadiliko yeyote?
Nyie ni wapuuzi tu. Yemeni ina mamiioni ya watu na wapo watakaochukua hizo nafasi hata wakiua 100 zitajazwa na vita iatendelezwa ilipoishia
Kila mtu anatetea dini yake mkuu. Hata wewe akifa kafiri unashangilia kana kwamba kafa mbwa tu.Hi mikenge mivaa misalaba akili zao ziko kama misalaba yachukulieni tu yalivyo