Norbert ntakisigaye
Member
- Feb 5, 2021
- 91
- 138
Ndio nimefungua u tube Nashangaa hii habari aiseeh wamebe eliminated for sure.
We kweli kilaza kwa akili yako watu wanahangaika na mateka. Watu wanawatumia kama chambo ili kuuwa watu nyie mmebaki kukariri wanawatafuta. Shida ya Israel ni kuiua hamas kabisa sio kuokoa mateka mjomba ndio maana mnaonekana vilaza kila eneo hata kufikiria nje ya box mmeshindwa.Wana kitu gani miaka miwili hawajapata mateka hata mmoja pale Gaza...
Waonyeshe u mossad wao Gaza.. kila siku IDF wanauawa na kupigwa ambush Gaza...
Mateka hawapo GazaWana kitu gani miaka miwili hawajapata mateka hata mmoja pale Gaza...
Waonyeshe u mossad wao Gaza.. kila siku IDF wanauawa na kupigwa ambush Gaza...
Mimi sijawahi kushangilia mtu kufa awe kafiri au Muislam as long yule mtu hana hatia. Kama Muislam au kafiri ana makosa niko upande ule unao pigana naye hata awe kafiriKila mtu anatetea dini yake mkuu. Hata wewe akifa kafiri unashangilia kana kwamba kafa mbwa tu.
Hamas haiwezi kufa...We kweli kilaza kwa akili yako watu wanahangaika na mateka. Watu wanawatumia kama chambo ili kuuwa watu nyie mmebaki kukariri wanawatafuta. Shida ya Israel ni kuiua hamas kabisa sio kuokoa mateka mjomba ndio maana mnaonekana vilaza kila eneo hata kufikiria nje ya box mmeshindwa.
Wanaouwa na al shabab, Kenya, na wanaouwawa na waislam Boko Haram Nigeria, na wanaouwawa na waislam msumbiji na Congo wana kosa gani mpaka muwauwe kwa maelfu.Mimi sijawahi kushangilia mtu kufa awe kafiri au Muislam as long yule mtu hana hatia. Kama Muislam au kafiri ana makosa niko upande ule unao pigana naye hata awe kafiri
Nionyeshe wapi nilishangilia kafiri kauliwa hana kosa.
Hali ni haki tu hata Uislam unasema usimdhulumu hata kafiri vipi ukamuwe Uislam hauko hivyo. Uislamu ni kusimama kwenye haki kila mwenye haki mpe haki yake.
Hii ndio lugha ambayo hawa Houths wataielewa vizuri.Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya mkuu wa Houthi.
Kituo cha televisheni cha Al-Jumhuriya cha Yemen kimeripoti kuwa Waziri Mkuu wa waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran, Ahmed al-Rahawi, ameuawa katika ghorofa moja mjini Sanaa wakati wa mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel jana.
Gazeti la Aden Al-Ghad limeongeza kuwa Rahawi aliuawa pamoja na wenzake kadhaa.
-----------------
Yemen’s Al-Jumhuriya channel reports that the prime minister of the Iran-backed Houthi rebels, Ahmed al-Rahawi, was killed in an apartment in Sanaa during the Israeli strikes yesterday
The Aden Al-Ghad newspaper adds that Rahawi was killed along with several of his companions
It appeared from the reports to have been a separate strike from the one yesterday that was said to have targeted 10 senior Houthi ministers, including the defense minister, as they gathered in a location outside of Sanaa to hear a planned speech by the group’s leader, Abdul Malik al-Houthi
The outcome of that strike has yet to be made clear
Source: Times of Israel
Gaza imeisha, imebakia magofu. Hapo ni ufagio tu kumalizia mapigano.Fuatilia uone IDF wanavyopigwa ambush Gaza na kumalizwa...
Naunga mkono hojaThis is a big blow to the terrorists and their JF sympathizers. Let the almighty God bless the Israelis and continue to give them strength to enable them decimate and obliterate the all satanic terrorists and completely destroy their terrorist infrastructure worldwide.
Si kila mwenye kujita Muislam ni Muislam wako wana majina ya kislamu na wanatumia uislam kwa faida zao sio kwa faida ya Uislam. Kuna watu wana majina ya kislam hata kusali hawasali hebu wewe nenda kafanye research uone wanao jiita Waislam wangapi wanao sali kama hujakuta less than 10% hapo Dar na usiku utawakuta disco na wanazini na wengine wako bar. Uislam uko mbali kabisa na hao. Kumbuka tofouti ya kafiri na Muislam ni salaa. Afu salaa ile ya khushuu sio ya ku show off eti unasali. Mungu hakuna wakumda'ngan'ya wanajidan'gan'ya wenyewe.Wanaouwa na al shabab, Kenya, na wanaouwawa na waislam Boko Haram Nigeria, na wanaouwawa na waislam msumbiji na Congo wana kosa gani mpaka muwauwe kwa maelfu.
👇👇😛😛😛Mimi sijawahi kushangilia mtu kufa awe kafiri au Muislam as long yule mtu hana hatia. Kama Muislam au kafiri ana makosa niko upande ule unao pigana naye hata awe kafiri
Nionyeshe wapi nilishangilia kafiri kauliwa hana kosa.
Hali ni haki tu hata Uislam unasema usimdhulumu hata kafiri vipi ukamuwe Uislam hauko hivyo. Uislamu ni kusimama kwenye haki kila mwenye haki mpe haki yake.
Mbona mateka hawapatikani?Gaza imeisha, imebakia magofu. Hapo ni ufagio tu kumalizia mapigano.

The Qur’an says in cases of war.👇👇😛😛😛
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
Hio ukanda wote unachukuliwa chief tuliaHamas haiwezi kufa...
Hivi unaelewa mabomu yaliyopigwa Gaza ni 25,000 tons?
Unaelewa ni sawa na nuclear bombs mbili?
IDF imeshindwa kuwamaliza Hamas...