Waziri Mkuu wa Houthi Ahmed al-Rahawi, ameuawa na Israel

Wana kitu gani miaka miwili hawajapata mateka hata mmoja pale Gaza...
Waonyeshe u mossad wao Gaza.. kila siku IDF wanauawa na kupigwa ambush Gaza...
We kweli kilaza kwa akili yako watu wanahangaika na mateka. Watu wanawatumia kama chambo ili kuuwa watu nyie mmebaki kukariri wanawatafuta. Shida ya Israel ni kuiua hamas kabisa sio kuokoa mateka mjomba ndio maana mnaonekana vilaza kila eneo hata kufikiria nje ya box mmeshindwa.
 
Kila mtu anatetea dini yake mkuu. Hata wewe akifa kafiri unashangilia kana kwamba kafa mbwa tu.
Mimi sijawahi kushangilia mtu kufa awe kafiri au Muislam as long yule mtu hana hatia. Kama Muislam au kafiri ana makosa niko upande ule unao pigana naye hata awe kafiri

Nionyeshe wapi nilishangilia kafiri kauliwa hana kosa.

Hali ni haki tu hata Uislam unasema usimdhulumu hata kafiri vipi ukamuwe Uislam hauko hivyo. Uislamu ni kusimama kwenye haki kila mwenye haki mpe haki yake.
 
Hamas haiwezi kufa...
Hivi unaelewa mabomu yaliyopigwa Gaza ni 25,000 tons?
Unaelewa ni sawa na nuclear bombs mbili?
IDF imeshindwa kuwamaliza Hamas...
 
Wanaouwa na al shabab, Kenya, na wanaouwawa na waislam Boko Haram Nigeria, na wanaouwawa na waislam msumbiji na Congo wana kosa gani mpaka muwauwe kwa maelfu.
 
Hii ndio lugha ambayo hawa Houths wataielewa vizuri.
 
Naunga mkono hoja
 
Wanaouwa na al shabab, Kenya, na wanaouwawa na waislam Boko Haram Nigeria, na wanaouwawa na waislam msumbiji na Congo wana kosa gani mpaka muwauwe kwa maelfu.
Si kila mwenye kujita Muislam ni Muislam wako wana majina ya kislamu na wanatumia uislam kwa faida zao sio kwa faida ya Uislam. Kuna watu wana majina ya kislam hata kusali hawasali hebu wewe nenda kafanye research uone wanao jiita Waislam wangapi wanao sali kama hujakuta less than 10% hapo Dar na usiku utawakuta disco na wanazini na wengine wako bar. Uislam uko mbali kabisa na hao. Kumbuka tofouti ya kafiri na Muislam ni salaa. Afu salaa ile ya khushuu sio ya ku show off eti unasali. Mungu hakuna wakumda'ngan'ya wanajidan'gan'ya wenyewe.

Uislam ni dini ya amani sio kama mnavyo fikiria nyie hao boko haramu au Al shabab wako mbali kabisa na uislam.
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
β€Žβ€œTerrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
β€Žβ€œMake war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
β€Žβ€œDo not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Gaza imeisha, imebakia magofu. Hapo ni ufagio tu kumalizia mapigano.
Mbona mateka hawapatikani?
Ulifikiri Hamas ni wajinga kiasi hik?
Hamas wamewazidi intel USA na Israel....
Wametafuta mateka hadi wamekata tamaaa, sasa wamezira kuwatafuta mateka πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hao mossad wakali wa intelligence wanashindwaje kufahamu mateka walipo pale Gaza?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nasikia wana kitengo wanaitwa Kidon πŸ˜‚ πŸ˜‚ .. kidon ya kinyesi...

Wakawaokoe, wazee wa six days war, operation Entebbe , operation rising lion ikageuka kuwa rising panyaπŸ˜‚πŸ˜‚..
 
The Qur’an says in cases of war.

The verse just before that one is says

[2:190]. β€œFight in the cause of Allah those who fight you, but do not transgress limits; for Allah loveth not transgressors.”

The Bible permits killing in specific contexts such as self defense
 
Hamas haiwezi kufa...
Hivi unaelewa mabomu yaliyopigwa Gaza ni 25,000 tons?
Unaelewa ni sawa na nuclear bombs mbili?
IDF imeshindwa kuwamaliza Hamas...
Hio ukanda wote unachukuliwa chief tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…