Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto).
Katika dini ya Kihindu ambayo Modi ni mfuasi wake kindakindaki ng'ombe anachakuliwa kama mama wa dunia na ubinadamu na anapewa hadhi ya juu pamoja na heshima kubwa ikiewemo pamoja na marufuku ya kuliwa.