Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto).

Katika dini ya Kihindu ambayo Modi ni mfuasi wake kindakindaki ng'ombe anachakuliwa kama mama wa dunia na ubinadamu na anapewa hadhi ya juu pamoja na heshima kubwa ikiewemo pamoja na marufuku ya kuliwa.

Your browser is not able to display this video.
 
Swafi sana tunadumisha mila 😂😂
 
Alimaanisha kumpiga shetani/jiwe mkubwa kwa vijiwe vidogo huku umevaa lubega bila bukta.
 
Tutampeleka Vingunguti akaone wanavyochinjwa
 
Ingia YouTube kama huwezi fika uone wenzako wanavyotimiza nguzo ya kubusu jiwe.
 
Hizo ni ibada za sanamu full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…