Waziri Mkuu wa Israel aenda Marekani kuonana na Trump!!

Waziri Mkuu wa Israel aenda Marekani kuonana na Trump!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameondoka kwenda Washington.

Kabla ya kupaa alisema: Kutokana na uzoefu wangu kama Waziri Mkuu, katika nyakati hizi ngumu lazima tuchukue hatua kwa azimio kubwa na hekima kubwa. Tutajadili masuala yote kwenye ajenda, kwanza kabisa, Iran. Ninaanza safari hii nikiwa na lengo moja wazi - kuhakikisha usalama, nguvu, na mustakabali wa Taifa letu pendwa la Israeli.
 
Ameenda kuchukua ratiba ya kazi kuanzi wikiki ijayo wale viongozi viherehere wa iran wajiandae kukutana na mabikira
 
Back
Top Bottom