Waziri Mkuu wa Israel aruhusu tena misaada kupelekwa Gaza

Kuruhusu misaada ya kibinadam gaza kunatoa mwanya wa wafadhiri wa magaidi wa hamas kuingiza silaha na vita kuanza upya, watu wahamishwe kwa nguvu eneo hilo wanaokataa wapigwe pamoja na magaidi
 
Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni.

Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo, Ofisi ya Waziri Mkuu inasema kwamba unafanywa "kwa mapendekezo ya IDF na kutokana na hitaji la uendeshaji la kuwezesha upanuzi wa mapigano makali ili kuwashinda Hamas."

Anasema Israel "itaruhusu kuingia kwa kiasi cha chakula cha msingi kwa wakazi ili kuzuia kutokea kwa mgogoro wa njaa katika Ukanda wa Gaza," kama vile mgogoro "utahatarisha kuendelea kwa operesheni ya kuwashinda Hamas."

Israel itachukua hatua ya kuwanyima Hamas uwezo wa kunyakua udhibiti wa usambazaji wa misaada ya kibinadamu ili kuhakikisha kuwa msaada huo hauwafikii magaidi wa Hamas,” anahitimisha.

Hatua hiyo imekuja huku kukiwa na ongezeko la shinikizo la kimataifa kwa Israel kukomesha vikwazo vyake vya miezi kadhaa vya kupeleka misaada katika Ukanda wa Gaza na hivyo kuzuia kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu.

Israel hadi sasa imekataa kufanya hivyo, ikisema Hamas imekuwa ikiiba misaada hiyo ili kuwanufaisha wanachama wake wenyewe, na kwamba haitarejelea uwasilishaji hadi utaratibu mpya utakapowekwa wa kukwepa Hamas.

Hata hivyo, kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Walla, uhamishaji upya wa usaidizi utarahisishwa kupitia mashirika kadhaa ya kimataifa, likiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani na Jiko Kuu la Dunia, hadi mfumo mpya unaoungwa mkono na Marekani na Israel utakapoanza kufanya kazi baadaye mwezi huu.

Kulingana na Ynet, Netanyahu alifahamisha baraza la mawaziri la usalama kwamba ilikuwa ni lazima kurudisha uwasilishaji mara moja kutokana na shinikizo kubwa kutoka kwa Marekani.

Hakupiga kura rasmi kuhusu suala hilo, kama inavyotarajiwa kwa ujumla, na badala yake aliarifu baraza la mawaziri kwamba hilo ndilo lililoamuliwa.
"the only rights the israel have is the right to pack their bags and get out of palestine"-Norman Finklestein
 
Ongeni vitu vya mana tatizo lenu mashoga hamkuamini nilipokosea imekuwa nyimbo ya kikanisa sasa.

Kawaida ya wakanisa wanatafuta kikosa kimoja miaka kwa Muislam watakiongelea miaka wakati wao wanakosea na waongo sisi wala hatujali hahaha
Endelea kujifariji tu Ila unatakiwa uende kusoma ujinga ukutoke kichwani!!!
 
Kuruhusu misaada ya kibinadam gaza kunatoa mwanya wa wafadhiri wa magaidi wa hamas kuingiza silaha na vita kuanza upya, watu wahamishwe kwa nguvu eneo hilo wanaokataa wapigwe pamoja na magaidi
Kwaio Unamaanisha Watu waondolewe nchini kwao? Common sense iko ivi Palestine wako 5 million kwenye Ardhi ya Gaza strip na West bank ni sababu Israel iliwafukuza hivi hivi wakafika Gaza strip kama Refugee camp Yao
 
Na Ukiita Hamas Gaidi kwa Kitendo Cha Oct 7 2023 je Utawaitaje Wa Israel walichowafanyia palestine Arabs kwanzia 1947 Ushafikri nchini kwako unaishi huna haki kama watu wengine.. Ni sehemu gani hapa Tanzania utanyimwa maji kisa ukabila ama udini Wa Palestine 70,000 walipokonywa makazi west Bank sio (Gaza) kisa MJewish Hana Eneo lakuishi Hivi NA TUPO TANZANIA TUNA SUPPORT USHETANI KISA YA ELIMU ,UJINGA,NA UMASIKINI WA KIFIKRA
 
Hivi unavyopotosha habari huwa unalipwa shillingi ngapi? Huu unaoufanya ni uuongo wa wazi kabisa.

China hata siku moja hawezi kurusha ndege yake kwenye anga la Gaza bila ruchu są ya wenye nchi kwa maana ya Israel. Gaza ni eneo la vita China hawezi kurusha ndege yake ya mizigo kwenye eneo hilo bila idhini inaweza kupopolewa.

Hapa tukikuambia uthibitishe uongo wako utaanza kuruka ruka kama Maharage jikoni wengine hata hofu ya kuumbuliwa imeisha mpaka mnatia aibu!!!!
Naweza kukubaliana na maelezo yako ila jambo pekee nina uhakika nalo wa asilimia 1,000,000 ni kuwa Israel hana uwezo,ujasiri wala akili ya kurusha hata fataki katika ndege ya jeshi la China.
 
Ujinga kama mlikuwa mnausema sana kuwasifia sifia magaidi wa Hezbollah mmewaramba sana miguu sasa hivi wako wapi? Wamepoteza mpaka viongozi wao wote na sasa hivi wameufyata mkia na wanachechemea kwa kipigo walichokipata kutoka majeshi shupavu ya Israel.

Haipo sababu yoyote ya China kupigana na Israel Pili hawapakani mipaka na Israel hivyo hakuna sababu. Iran na Houthi wao wamenunua ugomvi ambao hauwahusu ndiyo maana wanapigwa na Israel 🇮🇱
 
Duuuh!
Huwa una tabia na kupima vipimo vyote vya afya ya mwili wako mzima ?
 
Sawa nimekubali sikutazama mpaa mwisho hapo una point 👉

Kuna video fake nilidhani ni kweli siku fatilia mpa mwisho wa hio
news
sa wewe tuonyeshe mait ya Abu Obaida hahaha
Mm ni mwislamu lakin ss niseme tu tupo wepesi wakuwekwa mtu kati sijui kwa kutosoma na kupima dunia inaendaje juz kuanza ile fake vedio waislamu walijiunga na China hakuna hata muislam mmoja anaejipa muda wa kureview other sources wote mashalah tu hv eneo ni la kivita utapelekaje ndege zako hv wanafahamu flotila incursion ya waturuki haya leo wale wanafiki wa Canada wanajifanya kumkoromea Netanyahu ile pale ni mind war game chakula kinapelekwa kidg than vita miaka 2 tusomeni ndugu zangu kama huna taaluma yyte mambo ya geo politics usijibu kwa vile una bando na iPhone ya kuletewa mnatudhalilisha soote tunaoneka std 7 ni heri kupitia maoni ya watu ili kujenga uelewa so hakuna unafuu wwte kwa gaza
 
Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni.

Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo, Ofisi ya Waziri Mkuu inasema kwamba unafanywa "kwa mapendekezo ya IDF na kutokana na hitaji la uendeshaji la kuwezesha upanuzi wa mapigano makali ili kuwashinda Hamas."

Anasema Israel "itaruhusu kuingia kwa kiasi cha chakula cha msingi kwa wakazi ili kuzuia kutokea kwa mgogoro wa njaa katika Ukanda wa Gaza," kama vile mgogoro "utahatarisha kuendelea kwa operesheni ya kuwashinda Hamas."

Israel itachukua hatua ya kuwanyima Hamas uwezo wa kunyakua udhibiti wa usambazaji wa misaada ya kibinadamu ili kuhakikisha kuwa msaada huo hauwafikii magaidi wa Hamas,” anahitimisha.

Hatua hiyo imekuja huku kukiwa na ongezeko la shinikizo la kimataifa kwa Israel kukomesha vikwazo vyake vya miezi kadhaa vya kupeleka misaada katika Ukanda wa Gaza na hivyo kuzuia kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu.

Israel hadi sasa imekataa kufanya hivyo, ikisema Hamas imekuwa ikiiba misaada hiyo ili kuwanufaisha wanachama wake wenyewe, na kwamba haitarejelea uwasilishaji hadi utaratibu mpya utakapowekwa wa kukwepa Hamas.

Hata hivyo, kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Walla, uhamishaji upya wa usaidizi utarahisishwa kupitia mashirika kadhaa ya kimataifa, likiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani na Jiko Kuu la Dunia, hadi mfumo mpya unaoungwa mkono na Marekani na Israel utakapoanza kufanya kazi baadaye mwezi huu.

Kulingana na Ynet, Netanyahu alifahamisha baraza la mawaziri la usalama kwamba ilikuwa ni lazima kurudisha uwasilishaji mara moja kutokana na shinikizo kubwa kutoka kwa Marekani.

Hakupiga kura rasmi kuhusu suala hilo, kama inavyotarajiwa kwa ujumla, na badala yake aliarifu baraza la mawaziri kwamba hilo ndilo lililoamuliwa.
Magaidi wanatakiwa wawe wameshiba ili wadundwe vizuri.Wasisingizie njaa.Ni kipigo tu hadi wacheue chapati.
 
Mm ni mwislamu lakin ss niseme tu tupo wepesi wakuwekwa mtu kati sijui kwa kutosoma na kupima dunia inaendaje juz kuanza ile fake vedio waislamu walijiunga na China hakuna hata muislam mmoja anaejipa muda wa kureview other sources wote mashalah tu hv eneo ni la kivita utapelekaje ndege zako hv wanafahamu flotila incursion ya waturuki haya leo wale wanafiki wa Canada wanajifanya kumkoromea Netanyahu ile pale ni mind war game chakula kinapelekwa kidg than vita miaka 2 tusomeni ndugu zangu kama huna taaluma yyte mambo ya geo politics usijibu kwa vile una bando na iPhone ya kuletewa mnatudhalilisha soote tunaoneka std 7 ni heri kupitia maoni ya watu ili kujenga uelewa so hakuna unafuu wwte kwa gaza
Kuwa mwislamu mwepesi ni kujitakia kwenye dunia hii yenye lindi la elimu. ujinga kwani mzigo, aya ya kwanza kushuka ina sema soma! Sasa zubaeni aibu ni zenu walio soma watapita na kurekebisha hakuna atakaye beba aibu ya mjinga na mpumbavu wakati kitabu kinàtutaka tusome
 
Back
Top Bottom