Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aionya Uturuki kuingilia Syria!!

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aionya Uturuki kuingilia Syria!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba Israeli haitavumilia uvamizi wa kijeshi wa Uturuki nchini Syria unaotishia nchi ya Israel

Netanyahu alisema Israeli tayari ilikuwa imetoka ONYO Kali kwa Uturuki: "wasipeleke vifaa vyao vya kijeshi huko Syria."

"Inavyoonekana wali dharau ONYO Hilo," Netanyahu aliongeza, akisema Israeli kwa shambulizi la juzi Uturuki Wame elewa SOMO kwa vitendo!!! ilihakikisha ujumbe huo unaeleweka wazi zaidi kwao!!


View: https://t.me/ILTVnews/8738
 
Homa ya uchaguzi hiyo..

Akishindwa uchaguzi Ile kesi ya Rushwa itampeleka jela.
Kama Netanyahu akishindwa yupo Gvir waziri wa usalama atachukua uwaziri mkuu na hapo ndipo sera za Magaidi kuliwa na Mamba zitapitishwa kwa urahisi.

Au ulikuwa hujui kuwa waziri wa usalama wa Israel Bwana Gvir alishapendekeza magaidi wote wasizikwe mizoga yao wapewe Mamba ambao wamefugwa karibu na Gereza la magaidi wa kipalestina?
 
Hapo Israel kwa sasa Netanyahu ndio mtu ambaye ana uungwana kidogo kama waziri mkuu lakini wakija wale wengine ardhi waliyonayo Israel kwa sasa itakuwa mara 5.

Hao magaidi wote wanaofadhiliwa na Iran watasagwa kama unga mashineni, ngoja wafanye kucheza hapo.
 
Bibi ana huruma Sana Kwa hao magaidi Uturuki usijichanganye atapigwa kama Ngoma .tusijeanza play for Uturuki.Iran nao inalialia eti wasichana wa shule vita hupangiwi na adui
 
Bibi ana huruma Sana Kwa hao magaidi Uturuki usijichanganye atapigwa kama Ngoma .tusijeanza play for Uturuki.Iran nao inalialia eti wasichana wa shule vita hupangiwi na adui
Haya rudi shule kwanza naona unahara maneno tuuu
 
Tatizo sio Uturuki tu juzi Pakistan nayo imetoa onyo kali kwa Israel baada ya Israel kukiuka mipaka ya Syria
So ilichezo msidhani la kitoto kwasasa👈

wanaume washajua kumbe Babake mchumba tu kwenye Mavita Vita✍️
 
Back
Top Bottom