Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ampa onyo kali Ayatollah Khamenei

Ushuzi wa Netanyahu unachafua JF.
Huyo Nyau but la US na wakoloni wa magharibi Qasam pekee inamtosha.
Na Bado Nyau italia sana mpaka muda wake wa kwenda jela ukiwadia kwa kesi ya ufisadi.
Hizi harakati anazofanya no 😂 kukwepa kwenda jela na si kwa masilahi ya uyahudi.
Hujasukia wanajeshi wengi wameandika barua hawataki kuendela na vita.
 
Mkuu mimi niko hapa hakuna kitu kama hicho hao walioandika barua walishafutwa kazi na elewa walikuwa wastaafu na wachache ndiyo walikuwa kazini. Jeshi haligomi ndugu na ukigoma ndiyo Ugaidi wenyewe. Huko Hamas wanaendelea kupigwa vizuri sana tu. Kipigo hiki kilikuwa cha asubuhi ya leo.
 

Attachments

  • IMG_1957.mp4
    6.2 MB
  • gaza.mp4
    2.7 MB
mbon hiyo picha ya kwanza benjagay kama anarembua?
 
Vita Ni Mbaya Sana
Mtauwa Watu Wataisha Duniani
Kaeni Mzungumze Yaishe
 
Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!

Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Endelea kusubiri mtumbwi mlimani.
 
Script from masjid ubwabwa Kariakoo.
 
Nawaonea sana uruma wa iran Israel sio wakuchezea trust me
 
Safari hii mpaka Wanyooke tu!!
Naona unanyooka ww mkuu ni habari zako za ndege sijui Dude IRAN inasubilia mtu arushe jiwe kwake lkn tunaona kimya kwani ile mizigo uliotwambia ilikwenda kupotelea wapi ? USA bado anajitafuta kuusu IRAN!!!!
 
Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!

Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Taifa feki hili lilikuwepo hata kabla ya uislamu wako haujaanzishwa hata babu yako hajazaliwa hilo taifa lenu la palestina ndio feki mnang'ang'aniza lianzishwe halijawahi kuwepo hata hakuna historia inayowataja wapalestina
 
Naona unanyooka ww mkuu ni habari zako za ndege sijui Dude IRAN inasubilia mtu arushe jiwe kwake lkn tunaona kimya kwani ile mizigo uliotwambia ilikwenda kupotelea wapi ? USA bado anajitafuta kuusu IRAN!!!!
ndege kama 100 hivi za Israel ziliingia Iran zikatoa dozi na kuondoka Sasa wewe unataka jiwe la aina gani
 
Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!

Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Endelea kuota hivyo hivyo wewe gaidi ukija kustuka usingizini utakuta tayari umejinyea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…