King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Sina mpya kiongozi zaidi ya salamu tuHuku kwema sana lete habari!!
Sina mpya kiongozi zaidi ya salamu tuHuku kwema sana lete habari!!
Bwana YESU asifiwe.Alhandulah!!!!
Ushuzi wa Netanyahu unachafua JF.Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!!!!
Mkuu mimi niko hapa hakuna kitu kama hicho hao walioandika barua walishafutwa kazi na elewa walikuwa wastaafu na wachache ndiyo walikuwa kazini. Jeshi haligomi ndugu na ukigoma ndiyo Ugaidi wenyewe. Huko Hamas wanaendelea kupigwa vizuri sana tu. Kipigo hiki kilikuwa cha asubuhi ya leo.Ushuzi wa Netanyahu unachafua JF.
Huyo Nyau but la US na wakoloni wa magharibi Qasam pekee inamtosha.
Na Bado Nyau italia sana mpaka muda wake wa kwenda jela ukiwadia kwa kesi ya ufisadi.
Hizi harakati anazofanya no 😂 kukwepa kwenda jela na si kwa masilahi ya uyahudi.
Hujasukia wanajeshi wengi wameandika barua hawataki kuendela na vita.
mbon hiyo picha ya kwanza benjagay kama anarembua?Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!!!!
Endelea kusubiri mtumbwi mlimani.Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!
Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Script from masjid ubwabwa Kariakoo.Ushuzi wa Netanyahu unachafua JF.
Huyo Nyau but la US na wakoloni wa magharibi Qasam pekee inamtosha.
Na Bado Nyau italia sana mpaka muda wake wa kwenda jela ukiwadia kwa kesi ya ufisadi.
Hizi harakati anazofanya no 😂 kukwepa kwenda jela na si kwa masilahi ya uyahudi.
Hujasukia wanajeshi wengi wameandika barua hawataki kuendela na vita.
Nawaonea sana uruma wa iran Israel sio wakuchezea trust meBaada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!!!!
Wanasubiri nini kufanya hivyo!?Israel/mossad wakiamua kumuua Ayatolah wanaweza kufanya hivyo, kama walivyomuua Yesser Arafat kwa mbinu bila vita.
🤣Niulize chochote kuhusu Israel maana niko hapa ili nikishindwa kukujibu niwaulize wenye nchi nikujibu!!!
Naona unanyooka ww mkuu ni habari zako za ndege sijui Dude IRAN inasubilia mtu arushe jiwe kwake lkn tunaona kimya kwani ile mizigo uliotwambia ilikwenda kupotelea wapi ? USA bado anajitafuta kuusu IRAN!!!!Safari hii mpaka Wanyooke tu!!
Taifa feki hili lilikuwepo hata kabla ya uislamu wako haujaanzishwa hata babu yako hajazaliwa hilo taifa lenu la palestina ndio feki mnang'ang'aniza lianzishwe halijawahi kuwepo hata hakuna historia inayowataja wapalestinaHuyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!
Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
ndege kama 100 hivi za Israel ziliingia Iran zikatoa dozi na kuondoka Sasa wewe unataka jiwe la aina ganiNaona unanyooka ww mkuu ni habari zako za ndege sijui Dude IRAN inasubilia mtu arushe jiwe kwake lkn tunaona kimya kwani ile mizigo uliotwambia ilikwenda kupotelea wapi ? USA bado anajitafuta kuusu IRAN!!!!
anarembua harembui?Umezoea kupigwa miti?
Endelea kuota hivyo hivyo wewe gaidi ukija kustuka usingizini utakuta tayari umejinyeaHuyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!
Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!