Wewe ndio akili yako umeifungia ndani box!Watu wako under occupation for decades,wamepitia mateso ya kila aina!Magaidi namba moja ni serikali ya Israel kwa maana hakuna zaidi wanachofanya zaidi ya terror!
zaidi ya 70% waliouwawa ni wanawake na watoto,unaua raia zaidi ya 200 kisa unamlenga kamanda mmoja,kama jumuiya za kimataifa ziliona hakuna justification hiyo,wewe ni nani?Hata vita ina sheria zake,kuna proportionality!
The rule of proportionality requires that the anticipated incidental loss of human life and damage to civilian objects should not be excessive in relation to the concrete and direct military advantage expected from the destruction of a military objective.Israel haijazingatia wapate,wanachofanya ni Indiscriminate bombings!
Unaongelea udhalilishaji wa kupunga mkono tu,vipi raia wa palestina waliokuwa wanavuliwa nguo na kuamrishwa kupiga magoti huko gaza?Mnapata wapi ujasiri huo?
View attachment 3246292