Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ngoja nikueleze kidogo:Kabla haujatukana,uwe unapenda sana kunisoma katikati ya mistari.Kuna jambo umeshanikosea hii ni mara ya tatu sasa kwa sababu tu "hujui kusoma"!Usipende kujiandaa kwa mapambano kisa tu umeiona id fulani.Nimekujibu Kistaarabu ili ujifunze kitu.Usikurupuke.Wajinga na wapumbavu kama wewe hawaishi duniani!!
Anyway endelea