Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ngoja nikueleze kidogo:Kabla haujatukana,uwe unapenda sana kunisoma katikati ya mistari.Kuna jambo umeshanikosea hii ni mara ya tatu sasa kwa sababu tu "hujui kusoma"!Usipende kujiandaa kwa mapambano kisa tu umeiona id fulani.Nimekujibu Kistaarabu ili ujifunze kitu.Usikurupuke.Wajinga na wapumbavu kama wewe hawaishi duniani!!
Anyway endelea
Kwa hiyo unataka kuniaminisha Waziri Mkuu wa Usrael Benjamin Netanyahu alishakufa?Ngoja nikueleze kidogo:Kabla haujatukana,uwe unapenda sana kunisoma katikati ya mistari.Kuna jambo umeshanikosea hii ni mara ya tatu sasa kwa sababu tu "hujui kusoma"!Usipende kujiandaa kwa mapambano kisa tu umeiona id fulani.Nimekujibu Kistaarabu ili ujifunze kitu.Usikurupuke.
Bado hujajua kunisoma.Kuna jina nilitaka nikupe lakini nimeona nitakuonea tu.Pole sana.Usiwe mwepesi wa kutukana.Nadhani hupendi kujifunza.Kwa hiyo unataka kuniaminisha Waziri Mkuu wa Usrael Benjamin Netanyahu alishakufa?
Basi kawadanganye watoto wako nyumbani kwako au ukamdanganye baba yako!!
Sawa myahudiAyatollah Rahollah Khomenei (Rip) 1979 alitamba kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, miaka 10 baadaye akafutika yeye.
Akaja Ayatollah Ali Khamenei naye akatamba hivyo hivyo mwaka huu naye akafutwa kwenye uso wa dunia sasa bado kijana wake Mojtaba ambaye anaishi na mapanya mashimoni na labda huenda hata naye alishafutwa kwenye uso wa dunia, who knows.
Iran waliomba mziki ambao hawawezi kuucheza.
They asked for a music they cannot play to its tunes.
Acha ujuaji kwa usiowajua.Endelea kuwadanganya wajinga wenzako tu!!
Wewe ni mpuuzi usiyejielewa.Bloody mbuzi!Acha kutuuzia ujinga wako na ushabiki wako wa kijinga!!