Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
ICC Iko likizoWadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Congress
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni.
Mungu ibariki Israel
Hivi umeshawahi kusema Mungu ibariki Tanzania.Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Congress
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni.
Mungu ibariki Israel
Kuna tukio gani leoTupo ICJ live
Kwani lazima ikuhusu wewe? Kama halikuhusu anachana nalo, endelea na mambo menginewee kiazi kwahio inatuhusu nini Sisi?
Ile kesi ya wasauzi kwa IsraelKuna tukio gani leo
Kama ungekuwa mfuatiliaji wa tv za kimataifa wala usingeuliza hili!! Kwani ndio taarifa rasmi kuwa atahutubia ila bado tarehe haijaeekwa wazi.Ukisema muda wowote its mean huna uhakika na unajiweka kwenye akili za kungojea Mvua n.k Marekani hawana akili kama za masika au za kungojea mwezi uandame.. kila kitu kinapangwa
Uchunguzi kufanyika kuanzia sasa ndani ya mwezi mmoja kabla ya kuletwa tena mahakamaniWasipotekeleza hayo ni kesi nyingine ya genocide : ICJ