Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Republican wanampa kiburi sana huyu jamaa. Hii itakuwa ni mara ya pili Republiucab kumpa platform ya kuhutubia Bunge akiwa Waziri Mkuu bila kufuata diplomatic protocols, na mara nyingine ataatakuja kuwaambia uwongo mtupu kama alivyowaambia miaka 22 iliyopita hiviWadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Congress
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni.
Mungu ibariki Israel
View: https://www.youtube.com/watch?v=PHzSr52fZLQ
View: https://www.youtube.com/watch?v=rVPauUOVrmk