Republican wanampa kiburi sana huyu jamaa. Hii itakuwa ni mara ya pili Republiucab kumpa platform ya kuhutubia Bunge akiwa Waziri Mkuu bila kufuata diplomatic protocols, na mara nyingine ataatakuja kuwaambia uwongo mtupu kama alivyowaambia miaka 22 iliyopita hiviWadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Congress
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni.
Mungu ibariki Israel
Siri ya ukristo ni kwamba Yesu ni Munguπ Taifa fake la Mungu wa Paulo na wavaa misalaba karibu linakata roho.
Wakristo wangekuwa na akili wangeisga fahamu Mungu alimbarikia Yakobo na kizazi chake sio taifa liloundwa na Muingeteza 1948.
Unamkuta mkristo kasoma mpaa PhD anamini ujinga wa Paulo eti Yesu ni Mungu na Israel taifa la Mungu π
Akihutubia ndio inakuajeWadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Congress
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni.
Mungu ibariki Israel
Kwanin Washington ni heavenPutin hawezi kukanyaga Washington Ila Netanyahu anaenda taifa lolote
Ndio ni MUNGU, hivyo ni vigumu kwako kuelewa hilo kwasababu watu wengi ni wadini napia dini sio njia ya k kujiunganisha na MUNGU, ndio maana hata warumi kuamua kuanzisha dini ya uislamu ujue waliona mbali sana.π Taifa fake la Mungu wa Paulo na wavaa misalaba karibu linakata roho.