Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ajiuzulu

Italy itachukua mda mrefu sana kuja kupata waziri mkuu kama Yule mmiliki WA AC Milan alikuwa Mzee wa matukio Ila aliwavusha kwenye mikuki mingi
 
Pro Russia mnasemaje? Figisu za dikteta Putin zimepelekea Italian PM kujiuzulu au sio? Hiyo sasa ndio demokrasia sio mtu mmoja anaongoza nchi tangu mtoto anazaliwa hadi naye anakuwa kiongozi rais ni yule yule.
 
Kama malkia elizabeth kule UK
... kumbe siku hizi Russia ni ufalme na mfalme ni dikteta Putin na baada yake atamrithisha mwanae wa kumzaa au nduguye wa damu ufalme. Asante kwa ufafanzi.
 
Viva Putin [emoji1787][emoji1787]
[emoji106]
JamiiForums-1112092215.jpg
 
Niwaulize swali general.

Hawa viongozi wa hizi nchi wanajizulu Kwa sabab ya kuidhinisha Fedha kwenda Ukraine au Kuna shida nyingine.

Mjuzi yoyote tafadhali Msaada waufahamu kwenye hili.
Hapana,Swala ni kuwa Maisha yamekuwa magumu sana baada ya Russia kuanzisha Operesheni maalumu.
 
Ugumu wa maisha umgetokea tu kwa sababu ya Covid pia,kitu pekee dunia ya sasa haikuangalia ni nini kingefuata baada ya miaka miwili mfululizo wa adhari za covid ambapo watu wengi hawakufanya kazi ipasavyo na serikali nyingi ikiwemo watu binafsi kutumia akiba yao hila uszalishaji .
Hyo akiba waliyotumia walimpa nani hadi uchumi uanguke?? Nilitarajia kuwe kuna nchi iliyopaa juu ningesema hawa ndio wenye pesa za wenzao, leo dunia nzima uchumi umeshuka halafu pesa zetu tumetumia hapa hapa duniani kwanini tusizione popote? Kama sijui nijuzeni nijue uchumi unaangukaje dunia nzima??
 
Back
Top Bottom