Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ajiuzulu

Hyo akiba waliyotumia walimpa nani hadi uchumi uanguke?? Nilitarajia kuwe kuna nchi iliyopaa juu ningesema hawa ndio wenye pesa za wenzao, leo dunia nzima uchumi umeshuka halafu pesa zetu tumetumia hapa hapa duniani kwanini tusizione popote? Kama sijui nijuzeni nijue uchumi unaangukaje dunia nzima??
Kuna baadh ya watu pesa zao wameweka kwenye kibubu chini ya uvungu kwa hiyo pesa inakua haipo kwenye mzunguko na kusababisha pesa inayotumika kuwa chache mno nyingi ikiwa kwenye vibubu kwa hiyo tunalazimika kupokezana hiyo chache[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Inflation nchini mwao ni kubwa na inaendelea kuongezeka.

Kwa hivo Kwa Nchi za Ulaya baadhi zinategemea Ubatizo mkubwa wa economic recession.

Wajanja wanajitoa wenyewe kulinda majina Yao kwenye Jamii.

Vichwa Ngum kama Boris , wanalazimishwa.
Hiyo inflation imesababishwa na nin mbona hamsemi
 
Swali ni je

Ajira Ulaya zitapungua au zitaingezeka??
Kama EUROPE watazidi endelêa kukaza kichwa kwa RUSSIA ajira zitazidi wakimbia hasa
Ila wengine akili zinaanza kuwakaa sawa wanaanza kuelekea MOSCOW kupiga goti maana pale kila goti litapigwa
Ndugu UPOPO sawa inawezekana ikawa athari koronya
Ila pia kunamstari mwembamba sanaaa tena sanaa kama sio zaidi ya sana kumtenganisha PUT IN na RUSSIA yake kwahili linalotokea nalitakaloendelea viongozi wa EU
Kwasababu unajua athari inayoipata nchi inapoekewa vikwazo haswa nahao wanaojiita ama wanaojiona miungu watu wa EU US nashoga zao
Tuseme huzioni TURKEY ZIMBABWE CUBA VENEZUELA N.KOREA na IRAN nk zinavyopitia changamoto za Vikwazo tena walau IRAN hayo mataifa mengne yameoza kabisaaa
Mnajaribu kuukimbia ukweli ila ukweli haujifichi kwamba athari ya vikwazo imewagonga zaidi wawekaji kuliko wawekewaji
Vitu bei ghali pesa zao zinapoteza thamani kila leo
Wakiiondolea vikwazo RUSSIA week tu hali zao zarejelea kama awali
Ngojea niitafte twita ya BIDEN niitumie kama ushahidi
MOSCOW KILA GOTI LITAPIGWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi uchwara
Hapana,. Ipo hivi kama yalivyokua mapinduzi ktk nchi za kiarabu miaka ya 2008--2015.

Ulaya inaenda kushuhudia kitu hikohiko.

Kwa Sasa ni viongozi, wanatoka lkn sera zao zinaendelea zilezile Kwa wanaoingia madarakan.

Kitakachotokea ni ugumu wa Maisha zaidi, Kisha Raia wao wataingia mabarabaran.
 
Sawa ,mimi naona kwa.mtazamo tofauti ugumu wa maisha sio.kwamba umeletwa.na Putin tu ila.ameongezea bali adhari za miaka.miwili za.Covid ambapo watu hawakuwa.wanafanya uzalishaji.wa asilia 100 na sasa kina uhaba mkubwa wa rasilimali
We endelea kuzima moto Kwa godoro na kwakuwa ugonjwa unaowasumbua hamuusemi subirini kifo
 
Kama EUROPE watazidi endelêa kukaza kichwa kwa RUSSIA ajira zitazidi wakimbia hasa
Ila wengine akili zinaanza kuwakaa sawa wanaanza kuelekea MOSCOW kupiga goti maana pale kila goti litapigwa
Ndugu UPOPO sawa inawezekana ikawa athari koronya
Ila pia kunamstari mwembamba sanaaa tena sanaa kama sio zaidi ya sana kumtenganisha PUT IN na RUSSIA yake kwahili linalotokea nalitakaloendelea viongozi wa EU
Kwasababu unajua athari inayoipata nchi inapoekewa vikwazo haswa nahao wanaojiita ama wanaojiona miungu watu wa EU US nashoga zao
Tuseme huzioni TURKEY ZIMBABWE CUBA VENEZUELA N.KOREA na IRAN nk zinavyopitia changamoto za Vikwazo tena walau IRAN hayo mataifa mengne yameoza kabisaaa
Mnajaribu kuukimbia ukweli ila ukweli haujifichi kwamba athari ya vikwazo imewagonga zaidi wawekaji kuliko wawekewaji
Vitu bei ghali pesa zao zinapoteza thamani kila leo
Wakiiondolea vikwazo RUSSIA week tu hali zao zarejelea kama awali
Ngojea niitafte twita ya BIDEN niitumie kama ushahidi
MOSCOW KILA GOTI LITAPIGWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna goti kupigwa nimegundua upeo wako.wa uchumi ni.mdogo sana na unatanguliza ushabiki wa Urusi na Marekani.Jiulize kama sasa fedha ya Urusi imekuwa na dhamani na wanamafuta mengi au gesi mbona Tz msiende kununua mafuta ya bei raisi ?uchumi kuporomoka ni majumuisho ya mambo mengi sana
 
Hyo akiba waliyotumia walimpa nani hadi uchumi uanguke?? Nilitarajia kuwe kuna nchi iliyopaa juu ningesema hawa ndio wenye pesa za wenzao, leo dunia nzima uchumi umeshuka halafu pesa zetu tumetumia hapa hapa duniani kwanini tusizione popote? Kama sijui nijuzeni nijue uchumi unaangukaje dunia nzima??
Piga kitabu na ufanye utafiti,uchumi wa dunia ulianza kuyumba hata kabla ya vita ila vita imeongezea.Baada ya Corona lazima uchumi wa dunia ungeyumba kwa sabbu hakukuwa na uzalishaji wa kutosha kwenye nyanja mbalimbali na kile kidogo kilochokusanywa kikatumika .Wachumi walishaona recession wakati tuna recover kutoka kwenye covid.Hata hizo nchi za kiarabu zenye mafuta mengi nazo zimekumbwa na mdororo wa uchumi jiulize .Soma andiko la Petrodollar iliyotokea miaka ya 70 na.utajua jinsi dunia ilivyowezq kujikwamua kwenye recession baada ya mafuta kupanda sana duniani.na kutokuwa na mlinganyo wa bidhaa nyingine. Anyway naelekea naongea na empty head
 
Ugumu wa maisha umgetokea tu kwa sababu ya Covid pia,kitu pekee dunia ya sasa haikuangalia ni nini kingefuata baada ya miaka miwili mfululizo wa adhari za covid ambapo watu wengi hawakufanya kazi ipasavyo na serikali nyingi ikiwemo watu binafsi kutumia akiba yao hila uszalishaji .

Huwezi acha sema athari za vita ya Ukraine kama sababu ya huo ugumu wa maisha Ulaya.

Kusema ati ni athari za Covid tu huo ni upotoshaji dhahiri wenye lengo la kupuuzia mchango wa Urusi ktk kung’atuka kwa huyo waziri Mkuu ukizingatia utegemezi wa nishati kwa Urusi.
 
Shida kichwa chako.kiko.empty kama.wapiga makofi.wa nchi hii
Endelea kikaza shingo hata wewe mwenyew uko hoi kiuchumi kama una tabia hii
 
Hakuna goti kupigwa nimegundua upeo wako.wa uchumi ni.mdogo sana na unatanguliza ushabiki wa Urusi na Marekani.Jiulize kama sasa fedha ya Urusi imekuwa na dhamani na wanamafuta mengi au gesi mbona Tz msiende kununua mafuta ya bei raisi ?uchumi kuporomoka ni majumuisho ya mambo mengi sana
Hakuna wakati safari kwenda kupiga goti zishaanza huko
Kuhusiana na kunua mafuta ama laa nikazi zawatu wengine mie unanionea tuu kwahilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom