Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ajiuzulu

Italy itachukua mda mrefu sana kuja kupata waziri mkuu kama Yule mmiliki WA AC Milan alikuwa Mzee wa matukio Ila aliwavusha kwenye mikuki mingi
 
Swali kwanini afrika huwa hatuoni kujiuzulu???
 
Pro Russia mnasemaje? Figisu za dikteta Putin zimepelekea Italian PM kujiuzulu au sio? Hiyo sasa ndio demokrasia sio mtu mmoja anaongoza nchi tangu mtoto anazaliwa hadi naye anakuwa kiongozi rais ni yule yule.
 
Kama malkia elizabeth kule UK
... kumbe siku hizi Russia ni ufalme na mfalme ni dikteta Putin na baada yake atamrithisha mwanae wa kumzaa au nduguye wa damu ufalme. Asante kwa ufafanzi.
 
Niwaulize swali general.

Hawa viongozi wa hizi nchi wanajizulu Kwa sabab ya kuidhinisha Fedha kwenda Ukraine au Kuna shida nyingine.

Mjuzi yoyote tafadhali Msaada waufahamu kwenye hili.
Hapana,Swala ni kuwa Maisha yamekuwa magumu sana baada ya Russia kuanzisha Operesheni maalumu.
 
Hyo akiba waliyotumia walimpa nani hadi uchumi uanguke?? Nilitarajia kuwe kuna nchi iliyopaa juu ningesema hawa ndio wenye pesa za wenzao, leo dunia nzima uchumi umeshuka halafu pesa zetu tumetumia hapa hapa duniani kwanini tusizione popote? Kama sijui nijuzeni nijue uchumi unaangukaje dunia nzima??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…