Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mkuu hili swali sio geni kwa Russia na USAAtapigana na Nchi ngapi¿????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hili swali sio geni kwa Russia na USAAtapigana na Nchi ngapi¿????????
Sweden hutumia akili sana ktk maamuzi yake, huwa hawakurupuki. Na ni ngumu kuburuzwa na mabeberu
Finland na Sweeden zikijiunga NATO Ulaya kitawaka.
Kumbe ukijiunga na NATO unakuwa salama?
Wamebaki wachache sana viongozi wenye ajili kama Magdalene
Wana hadi ndegevita zao kitambo hawategemei USA wala Russia View attachment 2146754
Swedish made jetfightersView attachment 2146759
Hao Sweden na Finland asilimia kubwa ya wananchi wao wanataka nchi zao zijiunge na Nato kwani hata wenyewe wameshaelewa usalama wao utakuwepo tu kama watajiunga na Nato.
Hao Estonia, Latvia na Lithuania ambao huko nyuma walikuwa kwenye muungano wa Kisovieti tayari walishaliona hilo na kujiunga na Nato.
Ikumbukwe kwamba nchi za Finland na Sweden hata kijamii hawako karibu na warusi kwani wakati wafinland ni Ural Altai na wasweden ni Teutons, warusi ni jamii ya Slavs hivyo wako mbalimbali kabisa.
Kama ni ukaribu basi warusi jamii ambao wako nao karibu kabisa ni wabelarus, waukraine, wapoland, waczech, waslovakia, waboznia, waslovenia, wamacedonia, waserbia na wacroatia kwani wote ni jamii ya wa-slavs na hata lugha zao na tamaduni zinashabihiana mno.
Itakumbukwa kwamba jamii hizo ambazo ziko karibu na warusi kuna wengine tayari walishajiunga na Nato na hata hao wengine ambao bado hawajajiunga kama hao wa iliyokuwa Yugoslavia ya zamani karibu wote wameshatuma maombi kuomba kujiunga na Nato.
Kitu ambacho Russia inapaswa kujiuliza sana ni kwa nini mataifa karibu yote ya Ulaya yanapenda kujiunga na Nato na kwa nini wenyewe wanabaki na wabelarus tu..??!! Lazima kuna tatizo kubwa sana kwa upande wa Russia ndio maana wenzake wanamuona kama Pariah.
Kuna mataifa mengi tu ya Ulaya mashariki ambayo wakati wa vita baridi walikuwa upande wa Urusi na muungano wao ukijulikana kama Warsaw Pact lkn baada ya Marekani kuisambaratisha USSR na Warsaw Pact kufa hayo mataifa yalitengana na USSR na ndipo wengi wao wakaamua kujiunga na Nato na kuachana na ubabe wa warusi kitu ambacho Putin anakipinga hadi leo. Tutaendelea.
Wivu wa nini?! Kama vipi Russia naye ajiunge NATO aache wivu wa kike.
Marekani kamwambia sweden Bonyeza *100*01# kujiunga na NATO[emoji23][emoji23]
Russia Kamtumia sms sweden kamwambia hio huduma itakugharimu[emoji12][emoji12]Jiunge nikupasue
Unaumia sana jamaa hii habari ya kitambo sana Sweden walishasaini hatua za awali za kujiunga NATO ,unaishi wapi jombaaaWaziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi.
Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa vitani mwaka 1814 na imekuwa na sera yake ya mambo ya nje ya kutoshiriki au kujiunga na mashirikisho ya kujihami kijeshi (kama shirikisho la Umoja wa NATO), lakini ktk miaka ya hivi karibu imekuwa na ukaribu na NATO kutokana na mivutano iliyojiri kati ya Sweden na Russia ktk eneo la Baltic.
Ikumbukwe kuwa Russia hataki Sweden wala Finland zijiunge NATO, na mwishoni mwa mwezi uliopita Russia ilizionya nchi hizo mbili kuwa zikijiunga NATO zitegemee matokeo mabaya kijeshi na kisiasa.
============
Swedish PM rejects opposition calls to consider joining NATO
By Simon Johnson, Reuters
March 9, 2022
![]()
Swedish Prime Minister Magdalena Andersson speaks during a news conference regarding the security situation in Europe, at Rosenbad in Stockholm, Sweden on February 27, 2022. (Jessica Gow / TT News Agency via Reuters)
STOCKHOLM — Swedish Prime Minister Magdalena Andersson on Tuesday rejected opposition calls to consider joining NATO following Russia’s invasion of Ukraine, saying an application now would destabilize security in Europe.
Sweden has not been in a war since 1814 and has built its foreign policy on non-participation in military alliances, but it has forged ever closer ties to NATO in recent years as tensions with Russia in the Baltic region have risen.
Russia’s invasion, which it calls a “special military operation,” has renewed calls for Sweden to join NATO, alongside Finland, which has also remained outside the bloc.
“If Sweden were to choose to send in an application to join NATO in the current situation, it would further destabilize this area of Europe and increase tensions,” Andersson told reporters.
“I have been clear during this whole time in saying that what is best for Sweden’s security and for the security of this region of Europe is that the government has a long-term, consistent and predictable policy and that is my continued belief.”
Russia does not want Finland or Sweden to join NATO and late last month, Moscow made its latest warning of “serious military-political consequences” if they did.
Andersson was speaking after meeting opposition party leaders to discuss the worsening security situation.
A poll on Friday by Demoskop and commissioned by Aftonbladet newspaper showed 51 percent of Swedes were in favor of NATO membership, up from 42 percent in January. People against joining fell to 27 percent from 37 percent. It’s the first time such a poll has shown a majority in favor.
Ulf Kristersson, the leader of the Moderates, called on the government to begin broad domestic political discussions about NATO membership, a debate that has already started in Finland.
Finland and Sweden have close military ties and a move by one to join NATO would put added pressure on the other to apply.
“It is urgent,” Kristersson told news agency TT.
“We can’t get behind a wind-break and hope that it all blows over and then be surprised by a Finnish decision in a month or two.”
We 'kilaz2' angalia uzi ni wa lini sio wapayukapayuka hovyo kama 'maj1nun'Unaumia sana jamaa hii habari ya kitambo sana Sweden walishasaini hatua za awali za kujiunga NATO ,unaishi wapi jombaaa
Hasira za nini jombaaWe 'kilaz2' angalia uzi ni wa lini sio wapayukapayuka hovyo kama 'maj1nun'
We 'kilaz2' angalia uzi ni wa lini sio wapayukapayuka hovyo kama 'maj1nun'Hasira za nini jombaa
![]()
Sweden and Finland have taken another step in joining NATO, meaning only a formal ratification of their accession agreement is now left.
Anadolu Agency | Anadolu
Uzi uliochuja ,ulijaa propaganda ndio maana haukutimia ,nyie ndio vilaza mnakopi vitu mwishowe manaaibika.hujisikii hata kuutizama huu Uzi wako wa upupuWe 'kilaz2' angalia uzi ni wa lini sio wapayukapayuka hovyo kama 'maj1nun'
We 'kilaz2' angalia uzi ni wa lini sio wapayukapayuka hovyo kama 'maj1nunUzi uliochuja ,ulijaa propaganda ndio maana haukutimia ,nyie ndio vilaza mnakopi vitu mwishowe manaaibika.hujisikii hata kuutizama huu Uzi wako wa upupu
Uzi uliochuja ,ulijaa propaganda ndio maana haukutimia ,nyie ndio vilaza mnakopi vitu mwishowe manaaibika.hujisikii hata kuutizama huu Uzi wako wa upupu