Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

Akili kubwa sana[emoji122]
 
Hajafanya chochote mpaka sasa!
Marekani kamwambia sweden Bonyeza *100*01# kujiunga na NATO[emoji23][emoji23]

Russia Kamtumia sms sweden kamwambia hio huduma itakugharimu[emoji12][emoji12]Jiunge nikupasue
 
Unaumia sana jamaa hii habari ya kitambo sana Sweden walishasaini hatua za awali za kujiunga NATO ,unaishi wapi jombaaa
 
We 'kilaz2' angalia uzi ni wa lini sio wapayukapayuka hovyo kama 'maj1nun'
Hasira za nini jombaa

Sweden and Finland have taken another step in joining NATO, meaning only a formal ratification of their accession agreement is now left.
Anadolu Agency | Anadolu
 
Pro-Russia wanaruka rural tu kama kuku waliokatwa vichwa, akili zao finyu.
Uzi uliochuja ,ulijaa propaganda ndio maana haukutimia ,nyie ndio vilaza mnakopi vitu mwishowe manaaibika.hujisikii hata kuutizama huu Uzi wako wa upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…