Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

Hivi Sweden na finland hazipakani na urusi?
 
Madhara ya nuke ni makubwa mnoo
 
Kwanini urusi hawavamii Finland na swedeñ kama kweli lengo lao ni Ku resist NATO expansion
 
Ur
Kwa nini?
Urusi walisema watakiwasha maana mpaka wake na Finland ni mrefu sana. Na usalama wa eneo hilo la Baltic utakuwa tete sana. Hata wao Finland na Sweden wanamakubaliano kuwa wanapaswa kujadiliana iwapo mmoja anataka kujiunga NATO.
 
Ur

Urusi walisema watakiwasha maana mpaka wake na Finland ni mrefu sana. Na usalama wa eneo hilo la Baltic utakuwa tete sana. Hata wao Finland na Sweden wanamakubaliano kuwa wanapaswa kujadiliana iwapo mmoja anataka kujiunga NATO
Wote saivi wanasubiri tu ratification
 
Finland sio wanyonge kama Ukraine, kitawaka hadi Moscow
Ur

Urusi walisema watakiwasha maana mpaka wake na Finland ni mrefu sana. Na usalama wa eneo hilo la Baltic utakuwa tete sana. Hata wao Finland na Sweden wanamakubaliano kuwa wanapaswa kujadiliana iwapo mmoja anataka kujiunga NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…