Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Wapewe tu vibari ila na vitabu vichapishwe kwa wingi
 
Waachane navyo, hawalazimishwi kuwa navyo.
Unajua adhabu ya kuacha uislamu ni kukatwa kichwa mpk kufa?
Walijua kuweka adhabu hiyo, kuweka sharia na mahakama ya kadhi la sivyo hata huko Uarabuni wangeachana na imani hii. Km kikundi cha kichawi,ukiingia, ukijitoa kwenye uchawi ni kuawawa.
 
Waache huo upumbavu, waishi kwa kuheshimu tofauti zilizopo kati yetu.

Hatuwezi wote dunia nzima kuwa wa-Kristo au wapagani
Kuna watu wapumbavu Duniani hapa kama Waislamu?
Tanzania wameshachoma makanisa,mara mbili,mara ya kwanza Mbagala,mara ya pili Zanzibar,je? Uliona wakristo wakiandamana?
Hawa watu hujiona wao ndo watu Bora na Dini Bora kuliko zote Duniani.
Acha Quran ichomwe moto,na ichomwe kabisa,mimi niliitumbukiza chooni
 
Kwani wakichoma Quran Allah anakufa?
Eti,shangaa na wewe ndugu yangu,hawa watu wanampigania Alaah wasiyemwona, wakristo MUNGU wao anajipigania mwenyewe,kwa sababu ana uwezo wa yote.
I think an Islamic Alah is the most weakest of all ndo maana wanamtetea
 
Wakristo na Waislamu wote wanaamini uongo ule ule tu.
 
Unajua adhabu ya kuacha uislamu ni kukatwa kichwa mpk kufa?
Walijua kuweka adhabu hiyo, kuweka sharia na mahakama ya kadhi la sivyo hata huko Uarabuni wangeachana na imani hii. Km kikundi cha kichawi,ukiingia, ukijitoa kwenye uchawi ni kuawawa.
Bado ni maamuzi ya mtu, kuwa humo au la.
 
Yani Allah anashindwa kumpiga mtu radi hapo hapo mtu anapochoma Quran.

Dunia nzima tujue Allah hataki mchezo na kitabu chake?
Allah Ni mwingi wa rehema humpa pumzi hata mchawi na jambazi we unataka ue tu? Allah hufanya Jambo kwa sababu maalum
 
Huyo Allah yupo kweli? Mbona haishushii Gharika au moto hiyo sweden
Kwani unadhani gharika la nuhu lilikuja Mara moja Allah ana muda wake wote Ni viumbe wake kwanini aue? Atawapa adhabu akimua kwa muda wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…