Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi

Rais Magufuli, ametoa tamko gani?
Hii nime copy kwenye post yako kwamba
"

Sky Eclat

JF-Expert Member

Today at 4:35 PM
Wananchi wa Uingereza watalazimika kuvaa barakoa wakiwa kwenye usafiri wa umma. Hii ni pamoja na mabasi na treni."

Nami nikakujibu kama hivi

August
JF-Expert Member

Today at 4:55 PM
Sky Eclat said:
Wananchi wa Uingereza watalazimika kuvaa barakoa wakiwa kwenye usafiri wa umma. Hii ni pamoja na mabasi na treni

Mimi nikakujibu
"Kwani sisi tunafanyaje kwa sasa ???"

Kwa maana hata sisi tunavaa barakoa, kwa hiyo naona wanafuata hatua tulizochukua.

Sasa nashanga kauli yako us kuuliza kwani Raisi Magufuli kasemaje??
Maana nakuona unayumba yumba au ndio style ya Manunda???
 
Hii nime copy kwenye post yako kwamba
"

Sky Eclat

JF-Expert Member

Today at 4:35 PM
Wananchi wa Uingereza watalazimika kuvaa barakoa wakiwa kwenye usafiri wa umma. Hii ni pamoja na mabasi na treni."

Nami nikakujibu kama hivi

August
JF-Expert Member

Today at 4:55 PM

"Kwani sisi tunafanyaje kwa sasa ???"

Kwa maana hata sisi tunavaa barakoa, kwa hiyo naona wanafuata hatua tulizochukua.

Sasa nashanga kauli yako us kuuliza kwani Raisi Magufuli kasemaje??
Maana nakuona unayumba yumba au ndio style ya Manunda???

Kwanza upatikanaji wa barakoa ni shida, si wengi wanazimudu. Huku kwetu Kwatogole tunaokota zilizotupwa na kufua.

Hili ni swala la afya ya jamii, wasio na uwezo wa kununua ilipaswa wasaidiwe.

Tangu idadi ya wenye maambukizi iache kutangazwa watu wanadhani Corona imekwisha.
 
Hivi ni kwanini watu wapo lockdown lakini maambukizi yanaendelea ?

Mkuu kuwepo maambukizi si hoja. Hoja ni maambukizi kwa kasi ipi.

Ndiyo maana kimsingi USA, UK, Germany, Rwanda, Italy, Spain, nk wako vizuri japo wangali na maambukizi.
 
Coronavirus update – Monday 11 May 2020
Here are today’s updates regarding the Covid-19 pandemic in the UK and around the world.

PA-53650116-1024x683.jpg
(Face masks should be worn in enclosed spaces. Picture: PA Images)
  • A further 210 people have died after testing positive for coronavirus in the UK, bringing the country’s death toll to 32,065. This includes deaths in hospitals, care homes and in the community.
  • There have now been 223,060 confirmed cases of coronavirus in the UK, a rise of 3,877 from yesterday.
  • There were 100,490 tests carried out on 10 May, DHSC says.
  • The government has published a 60-page document titled ‘Our Plan to Rebuild’ explaining how lockdown measures will be eased.
  • The guidance now gives advice to wear a face covering in enclosed spaces where social distancing is not always possible, including on public transport and in some shops.
  • Washing clothes regularly is also now advised.
  • Foreign Secretary Dominic Raab has said pubs, restaurants, and hairdressers will not reopen until 4 July at the “very earliest.”
  • First Minister Nicola Sturgeon has said in Scotland the “stay at home” message remains, after Boris Johnson announced his “road map” out of lockdown last night.
  • Not all of the lockdown changes announced last night will apply to Wales, where lockdown rules were updated on Friday.
  • Male security guards are among those with the highest coronavirus death rates, figures by the Office for National Statistics show. Taxi drivers, construction workers, and chefs are also among those most likely to die after contracting the virus.
  • Transport for London has issued new guidance advising all passengers to wear non-medical face masks on trains and buses, and to carry hand sanitiser. The guidance also points out that social distancing rules still apply, meaning passengers must keep two metres apart.
  • Quarantine measures for people arriving in the country by air will not include those coming from France, where there is a reciprocal arrangement for UK travellers.
  • France has begun to lift its lockdown after eight weeks of restrictions.
  • Jury trials will resume next week in some courts in England and Wales under “special arrangements”.
 
Kwanza upatikanaji wa barakoa ni shida, si wengi wanazimudu. Huku kwetu Kwatogole tunaokota zilizotupwa na kufua.

Hili ni swala la afya ya jamii, wasio na uwezo wa kununua ilipaswa wasaidiwe.

Tangu idadi ya wenye maambukizi iache kutangazwa watu wanadhani Corona imekwisha.
Haya Bi Dada, saccos itaanza kutoa Barakoa
 
Coronavirus update – Monday 11 May 2020
Here are today’s updates regarding the Covid-19 pandemic in the UK and around the world.

PA-53650116-1024x683.jpg
(Face masks should be worn in enclosed spaces. Picture: PA Images)
  • A further 210 people have died after testing positive for coronavirus in the UK, bringing the country’s death toll to 32,065. This includes deaths in hospitals, care homes and in the community.
  • There have now been 223,060 confirmed cases of coronavirus in the UK, a rise of 3,877 from yesterday.
  • There were 100,490 tests carried out on 10 May, DHSC says.
  • The government has published a 60-page document titled ‘Our Plan to Rebuild’ explaining how lockdown measures will be eased.
  • The guidance now gives advice to wear a face covering in enclosed spaces where social distancing is not always possible, including on public transport and in some shops.
  • Washing clothes regularly is also now advised.
  • Foreign Secretary Dominic Raab has said pubs, restaurants, and hairdressers will not reopen until 4 July at the “very earliest.”
  • First Minister Nicola Sturgeon has said in Scotland the “stay at home” message remains, after Boris Johnson announced his “road map” out of lockdown last night.
  • Not all of the lockdown changes announced last night will apply to Wales, where lockdown rules were updated on Friday.
  • Male security guards are among those with the highest coronavirus death rates, figures by the Office for National Statistics show. Taxi drivers, construction workers, and chefs are also among those most likely to die after contracting the virus.
  • Transport for London has issued new guidance advising all passengers to wear non-medical face masks on trains and buses, and to carry hand sanitiser. The guidance also points out that social distancing rules still apply, meaning passengers must keep two metres apart.
  • Quarantine measures for people arriving in the country by air will not include those coming from France, where there is a reciprocal arrangement for UK travellers.
  • France has begun to lift its lockdown after eight weeks of restrictions.
  • Jury trials will resume next week in some courts in England and Wales under “special arrangements”.

Kwenye hotuba ya Johnson sijui kama umeona hii:

"And yet when I look at where we are tonight, we have the R below one, between 0.5 and 0.9 – but potentially only just below one."

R ni parameter pekee muhimu kufahamu mwelekeo wa ugonjwa kuwa umedhibitiwa au la.

Namba ya maambukizi au vifo haina cha kufanya na hili.

Inabidi kuwa na kiwango cha uelewa kuweza kuelewa haya lakini. Kama huelewi pole mkuu siyo makosa yako. Mko wengi kama wewe.
 
Sasa sisi tupo wapi katika hizo parameters???
 
Wapinzani wanampigia kelele na wamemwambia bado maambukizi yapo juu.
Source BBC swahili natizama hapa sasa hivi,yeye Boris kasema lazima UK ifunguke watu watoke wafanye kazi.
 
Tatizo ni namba. Namba hazidanganyi. Namba siyo siasa. Labda naye kama kapika kama kwetu. Ambako kwetu ni bila bila. Kila data ni zero!
 
Sasa sisi tupo wapi katika hizo parameters???

Kupata parameter R ni suala la muhimu sana. Hii inapatikana kutokea kwenye mass testing na ufuatiliaji wa wagonjwa wote wapya na wanaopona.

Kwa bahati mbaya hapa kwetu hakuna mass testing inayofanyika wala ufuatiliaji wa wagonjwa wote wapya.

Kumbuka kinachotokea na madereva wetu katika nchi jirani.

Matokeo yake hatuna definitive R. Lililowazi ni kuwa kwetu R > 1. Ugonjwa unaendelea kuongezeka na itaendelea hivyo hadi hatua zitakapochukuliwa kuudhibiti ugonjwa huu.
 
Unafungua huku kukiwa na cases nyingi kuliko zilizokuwepo wakati unafunga
Umesikia wakisema maneno kama "Flatten plateau" *easing restrictions" "Curve" na mengine mengi? Kinachoashiriwa ni kwamba wameshafika kileleni na hawawezi kwenda mbali juu zaidi ya walipo sasa zaidi ya kuanza kushuka kwa maambukizi.

Kitaalamu wanaangalia idadi ya wagonjwa wapya wanaoripotiwa, wanatoka wapi, hali zao za maambukizi ziko kwa kiwango gani, jamii imeitikiaje wito wa kukaa mbali mbali (social distancing) na hata kama wanafungua hawaishi kama zamani bali wanaishi kama zamani kiupya (New normal) yote hayo bado inaonesha wako makini na kuna vitu wanajifunza kila siku!!

Hawafungui kwa sababu wameshindwa bali kwa kuwa wanaishi katika uhalisia na kama wasingefanya walivyofanya leo hii wangekuwa tayari wameshaparaganyika. Jifunze shughuli anayokutana nayo Putin kule Urusi kuhusu COVID 19.
 
Wabunge wa upinzani wamemwambia Boris hali bado mbaya,Boris Kang'ang'ania lazima UK ifunguke watu wafanye kazi,ila wachukue tahadhari.

Nimetoka kutizama BBC swahili ya leo.Sasa sijajua hao wabunge wa upinzani hawaelewi hizo parameter.
 
Tatizo la COVID 19 kuna mambo mawili yamegongana na yote yana umuhimu, Afya za wananchi na Uchumi wa nchi. Ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na wananchi wenye Afya bora lakini ili Afya za wananchi wako ziweze kuwa bora ni lazima uwe na Uchumi Imara.

Kwa ivo watu kama kina Dolnad Trump, Boris Johnson na Stefan Lofven Waziri Mkuu wa Sweden wao hoja yao ni lazima watu warudi kazini sasa hivi huku wakijikinga ili wafufue uchumi. Wapinzani wao hoja yao kubwa ni kwamba viongozi hao hawana uthibitisho wa wataalamu wa Afya kwamba watu wakirudi kazini hakutatokea wimbi jipya la Maambukizi ya COVID 19.

Kwa maana nyingine wanaulizana kama yatarudi jamii itaweza kupambana nayo, na wataka watu kurudi kazini nao wanauliza watu wakiendelea kubaki majumbani jee serikali itaendelea kuwa na uwezo wa kuhimili kuwahudumia watu hao??
 
Back
Top Bottom