Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Magufuli, ametoa tamko gani?Kwani sisi tunafanyaje kwa sasa ???
Kwan walikuambia lockdown itakaa milele
Magu baba laooo![]()
Yani sisi watanzania sijui tuna akili gani,Rais Magufuli hakuwa wa kwanza kutoruhusu lockdown kuna nchi nyingi zaidi ya 100+ duniani zilisitisha shuguli zinazohusu mkusanyiko kama shule,mchezo n.k but shughuli zingine zote za kiuchumi zilikuwa zinaendelea kama kawaida.Mi nadhani Borris hajaiga magu
Njia bora walioiona akina Borris ni lockdown ila magu akaona lockdown haifai
Borris amegundua njia nzuri zaidii si lockdown (baada ya kuitumia) nakuamua kutoa elimu kwa umma kuchukua tahadhari njia ambayo magu aliibaini mapema zaidi
I think JPM is an extremely Genius
Elewa tofauti. Hawa wamekwenda hatua hiyo baada ya kuona hospitalization, positives,and intubations zimepungua kiasi kwamba their health care system can handle the volume of patients thast might arise. Their health indicators are in the negetivesYale yale ya nyumbani ila ndio vile tunasifia sababu kafanya mzungu,ila akifanya bwana mbonde wa huku dunia ya tatu tunaponda.
Kuna research kubwa inaendeles Oxford University na mpaka sasa hivi wanaomba wote waliopona corona watoe damu ili ifanyiwe uchunguzi.Sky with this corona, watarudi kule kule. Time will tell! Labda kama ameamua kusema indirectly kuwa atakayekufa afe atakaye pona apone! Let natural selection take its course!
That is true lkn...... ngoja tuone. USA baadhi ya majimbo yamelegeza masharti na tayari number of infections zimeanza kupanda. Naangali CCN muda mwingiKuna research kubwa inaendeles Oxford University na mpaka sasa hivi wanaomba wote waliopona corona watoe damu ili ifanyiwe uchunguzi.
Tafiti moja waliyogundua ni kuwa watu wanene kupita kiasi (obese) hawawezi kuhimili kishindo cha korona.
Hata mlipuko mpya ukitokea sasa hivi una uzoefu. Ingawa wengi wamekufa lakini waliopona ni wengi zaidi.
Upuuzi mtupu.Imefika muda ma Rais wa Mataifa Makubwa wajue kuna Akili kubwa a.k.a Darubini a.k.a kiona Mbali anaitwa Dr John Joseph Pombe Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimepunguza kasi wakati new cases zipo kila siku,leo tu mpaka sasa kuna kesi zaidi ya 3800 vifo 210 hapo bado siku haijaisha.Elewa tofauti. Hawa wamekwenda hatua hiyo baada ya kuona hospitalization, positives,and intubations zimepungua kiasi kwamba their health care system can handle the volume of patients thast might arise. Their health indicators are in the negetives
Nimesema indcators zao zinaonyesha a declining trend na NHS can handle the volume of new patients. Uelewe, new cases zipo lakini RATE imepungua.. mind RATE not absolute numbersZimepunguza kasi wakati new cases zipo kila siku,leo tu mpaka sasa kuna kesi zaidi ya 3800 vifo 210 hapo bado siku haijaisha.
Indicator zipi,huu ugonjwa hautaji watu milion moja kusambaa,mtu mmoja anaweza ambukiza watu mia.Nimesema indcators zao zinaonyesha a declining trend na NHS can handle the volume of new patients. Uelewe, new cases zipo lakini RATE imepungua.. mind RATE not absolute numbers
Naona hatutaelewana, kwaheri.Indicator zipi,huu ugonjwa hautaji watu milion moja kusambaa,mtu mmoja anaweza ambukiza watu mia.
Wasalimie.Naona hatutaelewana, kwaheri.
Your r just sarcastically telling yourself, thank you !!!!Ni kweli mkuu hawa wanaotunyanyapaa haiyumkiniki ni kutumiwa na mabeberu.
Kwanza kwetu hata vifo vya ajabu ajabu hakuna kabisa. Ni malaria malaria na changamoto za kupumua tu.