Mlisha mshauri raisi kipindi ugonjwa haujaingia kuwa asifanye lockdown na raisi akasikiliza ushauri wenu hakufunga mipaka wala hakufanya lockdown kwa jiji la Dar sasa mnahangaikana niniTutaelewana tu! Watanzania tupige Kazi!
Uingereza curve ndio kwanza inapaa juu, kasi ya vifo na maambukizi ndio inaongezeka kwa kasi ya ajabu.Wanafungua nchi kwa sababu sasa wameshajua jinsi ya kudeal na wagonjwa,hospital zao wameziwezesha kuja kuweza kupokea wagonjwa. Na curve imeanza ku flatten.
Wacha ujinga UK ipi hiyo unayoiongelea kimapenzi namna hiyo?Wanafungua nchi kwa sababu sasa wameshajua jinsi ya kudeal na wagonjwa,hospital zao wameziwezesha kuja kuweza kupokea wagonjwa. Na curve imeanza ku flatten.
Hakuna rais duniani kwasasa ambaye hajasikia jina la Magufuli katika kipindi hiki cha Corona, Magufuli ni gumzo la dunia nzima kwa sasa kutokana na utofauti anaoutumia katika kupambana na Corona.Hivi kwa akili zenu nchi zililock milele ?Kila Kiongozi akifungua nchi basi kamuiga Magufuli. Huyo Boris hata Magufuli hamjui kabisa.
Kwa Akili zenu Beberu akirudi kazini mnafikiria eti ni wamachinga wao wanarudi barabarani? Beberu amerudi afrika kuchimba madini, - Miafrika muendelee kujifungia huku mkisherehekea mikopoWanafungua nchi kwa sababu sasa wameshajua jinsi ya kudeal na wagonjwa,hospital zao wameziwezesha kuja kuweza kupokea wagonjwa. Na curve imeanza ku flatten.
Kama hamna dawa au chanjo wakitoa lock down maambukizo yatarudi tena kama Ujerumani. Hapa wameamua kutoa kafara wenzao kama Magu. Yote haya ni kwasababu ya uchumi.Tutaelewana tu! Watanzania tupige Kazi!
Hivi slogan ya "Chukuwa Tahadhari " ndio slogan ya Magu? Bora kunywa mkojo wa mbwa kuliko mkojo wa uzwazwa.Imefika muda ma Rais wa Mataifa Makubwa wajue kuna Akili kubwa a.k.a Darubini a.k.a kiona Mbali anaitwa Dr John Joseph Pombe Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikumbukwe duniani kote ni JPM tu ndie alieasisi precaution hii ya chapa kazi lakini chukua tahadhari
Alionekana kituko dunia nzima mpaka chang'aa media ya kunyaland kuja na slogan ya ukaidi wa Magufuli, baada ya kuonja shubiri ya kuomba msamaha week nzima,
Chang'aa media hiyo iliajiri watu mitandaoni kumtukana na kumkashifu JPM
Nangoja hash tag ya ukaidi wa Borris mungu wao
Hivi kwa akili zenu nchi zililock milele ?Kila Kiongozi akifungua nchi basi kamuiga Magufuli. Huyo Boris hata Magufuli hamjui kabisa.
Hapa kwetu kiongozi hajaridhia hatua za nchi zingineWanafungua nchi kwa sababu sasa wameshajua jinsi ya kudeal na wagonjwa,hospital zao wameziwezesha kuja kuweza kupokea wagonjwa. Na curve imeanza ku flatten.
Watanzania kweli mnakasoro......hahaa.Most European countries are now easing lockdown measures since the rate of new infections has reduced.Alafu the easing of lockdown is gradual si ati wanaamka leo na kurudia hali ya kawaida....hahaa
Hakuna kilichobadirika kwao na hata kwenye nchi ambazo hazikufunga hakuna uogofyo Wala niniWale walifunga wanafungua, wewe hujafunga unatakaje kufanana nao!!??
Je UK na USA rate of new infections and deaths have reduced?Watanzania kweli mnakasoro......hahaa.Most European countries are now easing lockdown measures since the rate of new infections has reduced.Alafu the easing of lockdown is gradual si ati wanaamka leo na kurudia hali ya kawaida....hahaa
Hii hoja si sahihi hata kidogo. Mnaodhani kwamba "lock down" haijawasadia hao watu wa Ulaya mnakosea sana na wala siyo kweli kwamba "Lock down" inaondolewa kwa sababu imeshindwa kufanya kazi.Swali la kujiuliza, Kwa nini wanaondoa Sheria ya kuwafungia watu Wakati Hali ya maambukizi ikiendelea na ugonjwa hauna hata Dalili ya kuondoka?