Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi

Capture.PNG

Capture.PNG

Kenyans need to be schooled!


#UkaidiwaBoris#


#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay yosef FestoTeargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Hivi kwa akili zenu nchi zililock milele ?Kila Kiongozi akifungua nchi basi kamuiga Magufuli. Huyo Boris hata Magufuli hamjui kabisa.
Sas wewe mkuu hebu ona!

Una wagonjwa 5 unapiga watu lockdown
Wagonjwa wamepanda hadi 150k na vifo 28k unawatoa watu nje hizo akili au matope?

Ndio Maana Magu watu walimdharau ila taratibu watamwelewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je UK na USA rate of new infections and deaths have reduced?
Kuwa "detected" na kuwa na "New Case" ni mambo mawili tofauti kabisa. Na ndiyo maana China wana kitu wanaita "Imported New cases"

Wenzetu walikuwa na "Projections" zao wakati Ugongwa huu unaanza. Kwa Marekani wao walikadiria watu zaidi 2.5 watakufa kwa COVID 19 kama hatua zozote zisigechukuliwa kupambana na Ugonjwa huo.

Lakini Mwisho walipoanza kupambana wakaishusha hadi laki 2.5 na mwishoni kabisa wameshusha mpaka 134,000. Kwa ivo si kwamba "Lock down" haijawasaidia.

Hapa kwetu jambo muhimu la kupambana na ugonjwa huu halifanywi. Watu hawapimwi kabisa kwa wingi unaotakiwa ili kujua ukubwa wa Tatizo!!
 
Mlisha mshauri raisi kipindi ugonjwa haujaingia kuwa asifanye lockdown na raisi akasikiliza ushauri wenu hakufunga mipaka wala hakufanya lockdown kwa jiji la dar sasa mnahangaikana nini

Maana kwa sasa lockdown kwa Tanzania haiwezekani tena ugonjwa umeshafika kila sehemu hadi katika mapapai na mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waliofanya lockdown ugonjwa umepungua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka ukiona wazungu wanaamua kutuiga basi ujue wameshikwa pabaya...
 
Hivi slogan ya "Chukuwa Tahadhari " ndio slogan ya Magu? Bora kunywa mkojo wa mbwa kuliko mkojo wa uzwazwa.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Always sentensi za Magufuli ni very clear!
"chapa kazi huku ukichukua tahadhali zinazotolewa na wataalamu wa afya"

Wajinga mnataka mpaka aseme mjifungie ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania kweli mnakasoro......hahaa.Most European countries are now easing lockdown measures since the rate of new infections has reduced.Alafu the easing of lockdown is gradual si ati wanaamka leo na kurudia hali ya kawaida....hahaa
Tatizo lako unapenda kusoma taarifa za kigogo pekee! Europ ipi ambayo maambukizi yamepungua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hata aibu et wameweza ku deal na wagonjwa ivi ripot ya vifo vyao Jana umeiona au unapambana tu ili usionekane umeshindwa Kama hamna haya Basi kuen hata na aibu mpongezen mwenye kustail
Wanafungua nchi kwa sababu sasa wameshajua jinsi ya kudeal na wagonjwa,hospital zao wameziwezesha kuja kuweza kupokea wagonjwa. Na curve imeanza ku flatten.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hoja si sahihi hata kidogo. Mnaodhani kwamba "lock down" haijawasadia hao watu wa Ulaya mnakosea sana na wala siyo kweli kwamba "Lock down" inaondolewa kwa sababu imeshindwa kufanya kazi.

Ulaya Maambukizi yanapungua sana kuliko mnavyotaka kuaminisha watu. Wao wanapima watu wao, wanaweka ufuatiliaji, wanafanya tathimini za kisayansi kuhusu COVID 19 na hali ya uchumi ilivyo.

Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu aliyedhani kwamba "Lock down" litakuwa ni jambo la milele. Sielewi ni kwa nini kuna baadhi ya watu wanashangaa kuona baadhi ya mashart ya "Lock Down" yanapunguzwa huko Ulaya na Marekani??
Hebu weka twikwimu tuone rate ya maambukizi inavyoshuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom