Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi

Hivi kwa akili zenu nchi zililock milele ?Kila Kiongozi akifungua nchi basi kamuiga Magufuli. Huyo Boris hata Magufuli hamjui kabisa.
Mi nadhani Borris hajaiga magu

Njia bora walioiona akina Borris ni lockdown ila magu akaona lockdown haifai

Borris amegundua njia nzuri zaidii si lockdown (baada ya kuitumia) nakuamua kutoa elimu kwa umma kuchukua tahadhari njia ambayo magu aliibaini mapema zaidi

I think JPM is an extremely Genius
 
Sas wewe mkuu hebu ona!

Una wagonjwa 5 unapiga watu lockdown
Wagonjwa wamepanda hadi 150k na vifo 28k unawatoa watu nje hizo akili au matope?

Ndio Maana Magu watu walimdharau ila taratibu watamwelewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maambukizi yameshafikia peak na sasa graph inaanza kuflatten. Kama nilivyokuambia wanapima watu wengi na kuisolate.
Sasa Magufuli kilaza wenu hakuna kupima na mikusanyiko kama kawaida.
All in all kwa sasa Ulaya wanaease Lockdown maana makanisa,bar,clubs bado vimefungwa. Huku Tanzania bar zipo wazi. Halafu mlivyo vilaza eti wanamuiga mr Pombe.
Ulaya wanafuata data zao. Wanapima,wanaisolate.
Yaani Tanzania ni bogus katika kudeal na Corona. Hakuna nchi itaiiga Tanzania.
 
Lockdown ndo njia nzuri ya kupambana na huyu virus. Sema tu inaathiri uchumi. Ila BoJo anaease to Lockdown. Maana wote wanaoweza kufanya kazi kwa online wataendelea kufanya kazi kwa online.
 
These measures are proving nothing more than how intelligent and firm on his decisions, JPM is!
 
Huna hata aibu et wameweza ku deal na wagonjwa ivi ripot ya vifo vyao Jana umeiona au unapambana tu ili usionekane umeshindwa Kama hamna haya Basi kuen hata na aibu mpongezen mwenye kustail

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vile Tanzania hamtoi report.Bila Lockdown vifo vingekuwa mara tatu ya hivyo.
 
Kweli eenh? Lakini umesoma alichosema Boris au unashabikia tu kilicholetwa na huyo shabiki mwenzio wa "Hakuna Lock down"?
Mkuu najua unaumia ila ukweli ni kwamba jamaa wameona lockdown ni upuuzi!

UK iliwapiga watu lockdown kukiwa na wagonjwa hata elfu 10 hawajafiki, leo kuna wagonjwa zaidi ya 150,000 na vifo 28,000 eanaondoa lock down hapo umefanya nini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kama Mimi, niliamini na ninaamini kwamba, Lockdown iliyokuwa inaendelea haswa Kwa Wazungu walidhani hiyo ndiyo dawa pekee ya kukomesha maambukizi ktk nchi zao na Baadhi ya nchi za Africa zenye viongozi ambopo ambapo mambo Yao mengi hupendelea kuiga kutoka Kwa Wazungu,

Sasa wamejikuta wakiamuru police kupiga watu bule bila mafanikio, bule kabisa
 
Mkuu najua unaumia ila ukweli ni kwamba jamaa wameona lockdown ni upuuzi!

UK iliwapiga watu lockdown kukiwa na wagonjwa hata elfu 10 hawajafiki, leo kuna wagonjwa zaidi ya 150,000 na vifo 28,000 eanaondoa lock down hapo umefanya nini sasa?
British Prime Minister Boris Johnson has address the people of the country and stated that thanks to lockdown measures, around 500,000 lives were saved, which was the worse case scenario for the UK.

Hayo ni maneno ya Boris Mwenyewe!!
 
Duuh ila tukiacha unafiki huyu mzee aliona mbali sana
Na ndio maana hata hatangazi new cases tena!
Hebu someni hio habari vizuri, tumeruhusiwa kurudi kazini kama una usafiri wako mwenyewe na sio public transport, pia kwenye kazi kuwe na levels za kujikinga, serikali imetoa theory test kwa wafanyakazi wote ili aweze kufanya kazi kwa uwangalifu mkubwa,
Pili kutoka nje unlimited kufanya mazoezi, ikumbukwe UK wa maeneo mengi ya wazi ya kufanya mazoezi, usilinganishe na dar,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa akili zenu nchi zililock milele ?Kila Kiongozi akifungua nchi basi kamuiga Magufuli. Huyo Boris hata Magufuli hamjui kabisa.

Kwanini asiendeleze lockdown wakati lengo la lockdown kupunguza maambukizi na huko lockdown ipo ila bado maambukizi ni endelevu ?
 

Sawa kwa nini wakaruhusu watu kwenda kazini wakati maambukizi hayajapungua to that extent ya kuruhusu watu waanze kazi kama hapo mwanzo ?

Lengo la kufungua lockdown ni lipi kwao ?
 
Ikumbukwe duniani kote ni JPM tu ndie alieasisi precaution hii ya chapa kazi lakini chukua tahadhari
MATAGA umeelewa base ya Boris to ease some restrictions? Bila lockdown watu 500,000 wangelikufa. With lock down vifo less than 30,000 vimekuwa escaped. Soma uelewe.
 
kwa nchi nyingi za k
Lockdown ndo njia nzuri ya kupambana na huyu virus. Sema tu inaathiri uchumi. Ila BoJo anaease to Lockdown. Maana wote wanaoweza kufanya kazi kwa online wataendelea kufanya kazi kwa online.
iafrica uwezo wa wananchi kustahimili lockdown ni mdogo sana kulingana na hali za uchumi binafsi kwa mmoja mmoja.
ukifanya lock down kwa nchi kama tanzania nisawa na kupaste kilichofanywa na mataifa makubwa bila kuangalia madhara makubwa kwa wananchi

Hua najiuliza mfano lockdown ingefanywa katika jiji la DSM, hali ingekuwa vipi ikiwa wengi wanaishi kwa kipato chao cha siku
 
Wanapima watu ambao tayari wamefunguliwa na kuanza kujichanganya?
Huoni kama sasa nchi mzima watamabukizana.?

Mimi naona wewe ndio kilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Stupidity at its worst. Hujui hata maana ya lockdown. Endelea kuimba mapambio ya kumsifu mtu ambae leo hii ndie laughing stock of the entire world akishindana na zuzu mwenzake Bolsonaro .
 
Pamoja na ubogus wetu vipi rate ya vifo na maambukizi kulinganisha na hao mabwana zako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…