Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ajiuzulu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Jumatatu hii baada ya kukabiliwa na shinikizo la miezi kadhaa, hatua inayofungua njia kwa nchi hiyo kupata Waziri Mkuu wa saba katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.

Akihutubia nje ya Ofisi ya Waziri Mkuu (10 Downing Street), Starmer ambaye amekuwa madarakani tangu Julai 2024 alikiri wazi kuwa amepoteza uungwaji mkono kutoka kwa wabunge wa chama chake cha Labour.

Alieleza kuwa tayari amemtaarifu Mfalme Charles III kuhusu uamuzi wake huo wa kujiuzulu, ili kuruhusu mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa chama cha Labour, ambaye pia atakuwa Waziri Mkuu mpya, uweze kuendelea. Starmer alieleza kuwa amekiomba Kamati Kuu ya ya chama cha Labour kuweka ratiba ya kumpata mrithi wake, ambapo mchakato wa kuchukua fomu za uteuzi unatarajiwa kuanza rasmi Julai 9.

Hata hivyo, Sir Keir amesisitiza kuwa ataendelea kubaki kwenye nafasi yake kama Waziri Mkuu mpaka pale mchakato huo wa kumpata kiongozi mpya utakapokamilika.

1782131268450.png

==============
UK leader Keir Starmer announced his resignation on Monday following months of pressure, kickstarting a process that will see Britain get its seventh prime minister in a decade.

In a speech outside 10 Downing Street, Starmer -- in office since July 2024 -- conceded he had lost the support of his Labour party MPs.

He said he had informed King Charles III of his decision to resign so that a new Labour leader, and therefore prime minister, could be elected.

"I will remain in post as prime minister until the contest is complete, and I will do everything I can to ensure an orderly handover of power," he said.

Starmer's authority has been waning since Labour endured a drubbing in local and regional elections in May.

He was unable to withstand the pressure any further following confirmation last week that his rival Andy Burnham was returning to parliament, clearing the path for an anticipated leadership challenge.

Burnham, a veteran Labour politician, is due to take up his seat in the House of Commons later on Monday after winning a parliamentary by-election in Makerfield, northwest England, on Thursday.

"The question my party is asking now is whether I am best placed to lead us into the next general election," Starmer said, as senior ministerial colleagues looked on.

"I have heard the answer of my parliamentary party to that question, and I accept that answer with good grace.

"Every decision I have taken has been about putting the country I love first. That is why I will resign as leader of the Labour Party," he added, choking up in an emotional speech.

Starmer said he had asked Labour's National Executive Committee to set out a timetable for his replacement, with nominations due to open on 9 July.

"This will ensure that a new leader is in place before parliament returns in September" after the summer recess, he explained.

Source: AFP
 
Hahaha Huu ndo utamu wa chess YA elites,VICTOR ORBAN alipinga Vita vya ulaya dhidi YA urusi Kwa mgongo wa Ukraine
Elites wakamuondoa uwaziri mkuu wa Hungary.Sasa Keir stammer alisapoti Na kuunga mkono Vita YA Ukraine lakini akapinga Vita YA marekani Na Iran...lakini pia alipinga Sana yanayoendelea Gaza Amelia kichwa.
Bado yule wa Italia Na spain
 
Spain tayari mke wake yupo kikaangoni
 
Ni
Spain tayari mke wake yupo kikaangoni
Ni hatari hii Dunia inaendeshwa Na shadow governments,lazima Russia apungue nguvu,Na lazima Iran Uwe upande wa MAGHARIBI ili mchina anyooshwe maana haendani Na MIPANGO Yao YA kishetani
 
Hahaha Huu ndo utamu wa chess YA elites,VICTOR ORBAN alipinga Vita vya ulaya dhidi YA urusi Kwa mgongo wa Ukraine
Elites wakamuondoa uwaziri mkuu wa Hungary.Sasa Keir stammer alisapoti Na kuunga mkono Vita YA Ukraine lakini akapinga Vita YA marekani Na Iran...lakini pia alipinga Sana yanayoendelea Gaza Amelia kichwa.
Bado yule wa Italia Na spain
ndo maana tunasema hakunaga demokrasia wala haki chini ya jua.. kila kitu kinaendeshwa na wenye mamlaka zao "behind the scene"...
 
Hahaha Huu ndo utamu wa chess YA elites,VICTOR ORBAN alipinga Vita vya ulaya dhidi YA urusi Kwa mgongo wa Ukraine
Elites wakamuondoa uwaziri mkuu wa Hungary.Sasa Keir stammer alisapoti Na kuunga mkono Vita YA Ukraine lakini akapinga Vita YA marekani Na Iran...lakini pia alipinga Sana yanayoendelea Gaza Amelia kichwa.
Bado yule wa Italia Na spain
Victor Orban alikuwa amisha chokwa aliongoza Hungary karibu miaka 16,hiyo ya Ukraine sio sababu.
Zogo la stammer limeanza hata kabla ya Vita vya Iran
 
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Jumatatu hii baada ya kukabiliwa na shinikizo la miezi kadhaa, hatua inayofungua njia kwa nchi hiyo kupata Waziri Mkuu wa saba katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.

Akihutubia nje ya Ofisi ya Waziri Mkuu (10 Downing Street), Starmer ambaye amekuwa madarakani tangu Julai 2024 alikiri wazi kuwa amepoteza uungwaji mkono kutoka kwa wabunge wa chama chake cha Labour.

Alieleza kuwa tayari amemtaarifu Mfalme Charles III kuhusu uamuzi wake huo wa kujiuzulu, ili kuruhusu mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa chama cha Labour, ambaye pia atakuwa Waziri Mkuu mpya, uweze kuendelea.

These people are truly civilized. Sisi Africans sijui tutapata lini ustaarabu wa aina hii. Wenzetu hawaui watu ili wabaki madarakani. Wakikataliwa na wenzao wanaziachia nafasi zao bila kufanya uhalifu.

God damn the fazafaka from Kizimkazi.
 
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Jumatatu hii baada ya kukabiliwa na shinikizo la miezi kadhaa, hatua inayofungua njia kwa nchi hiyo kupata Waziri Mkuu wa saba katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.

Akihutubia nje ya Ofisi ya Waziri Mkuu (10 Downing Street), Starmer ambaye amekuwa madarakani tangu Julai 2024 alikiri wazi kuwa amepoteza uungwaji mkono kutoka kwa wabunge wa chama chake cha Labour.

Alieleza kuwa tayari amemtaarifu Mfalme Charles III kuhusu uamuzi wake huo wa kujiuzulu, ili kuruhusu mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa chama cha Labour, ambaye pia atakuwa Waziri Mkuu mpya, uweze kuendelea.

Hata hivyo, Sir Keir amesisitiza kuwa ataendelea kubaki kwenye nafasi yake kama Waziri Mkuu mpaka pale mchakato huo wa kumpata kiongozi mpya utakapokamilika.

==============
UK leader Keir Starmer announced his resignation on Monday following months of pressure, kickstarting a process that will see Britain get its seventh prime minister in a decade.

In a speech outside 10 Downing Street, Starmer -- in office since July 2024 -- conceded he had lost the support of his Labour party MPs.

He said he had informed King Charles III of his decision to resign so that a new Labour leader, and therefore prime minister, could be elected.

"I will remain in post as prime minister until the contest is complete, and I will do everything I can to ensure an orderly handover of power," he said.

Starmer's authority has been waning since Labour endured a drubbing in local and regional elections in May.

He was unable to withstand the pressure any further following confirmation last week that his rival Andy Burnham was returning to parliament, clearing the path for an anticipated leadership challenge.

Burnham, a veteran Labour politician, is due to take up his seat in the House of Commons later on Monday after winning a parliamentary by-election in Makerfield, northwest England, on Thursday.

"The question my party is asking now is whether I am best placed to lead us into the next general election," Starmer said, as senior ministerial colleagues looked on.

"I have heard the answer of my parliamentary party to that question, and I accept that answer with good grace.

"Every decision I have taken has been about putting the country I love first. That is why I will resign as leader of the Labour Party," he added, choking up in an emotional speech.

Starmer said he had asked Labour's National Executive Committee to set out a timetable for his replacement, with nominations due to open on 9 July.

"This will ensure that a new leader is in place before parliament returns in September" after the summer recess, he explained.

Source: AFP
Kujiuzulu kwa Keir Starmer kunaonyesha jinsi uwajibikaji wa kisiasa ulivyo muhimu katika mfumo wa demokrasia wa Uingereza. Tuachane na ule ujinga wa kusema kila nchi ina Demokrasia yake. Kiongozi anapohisi amepoteza uungwaji mkono wa chama chake na wabunge wake, mara nyingi huchagua kutoa nafasi kwa uongozi mpya badala ya kung'ang'ania madaraka. Hii ni ishara kwamba nguvu ya kisiasa haitokani na wadhifa pekee, bali pia na imani na ridhaa ya wale unaowaongoza. Kitu ambacho CCM wanapaswa kukielewa ni kwamba wananchi wakikuchoka si busara kutumia bunduki kuwalazimisha uwe kiongozi wao
 
Mimi kwa hapa narudia tu yale maneno ya PW Botha (rip) kama yalivyo hapa chini 👇
_____________________________
The former South African president the late Pieter Willem Botha once said, "the gravest mistake that will never be pardoned is to allow the black man to rule."
______________________________
 
Kaka unajua Netanyahu ana miaka mingapi anatawala?obarn alipinga kuwapa Hela Na silaha Ukraine akakatiwa gesi Na pia kampeni ikapigwa Sana aondoke
Israel haipo Ulaya,na pia sio member wa EU.kwa nchi zilizokuwa UE na orban pekee ndio alikuwa ameongoza kwa muda mrefu.
Hata hivyo pamoja na kuchokwa sababu nyingine ni ukaribu wake na Urusi.lakini pamoja na hayo yote Trump alimtuma hadi Makamu wake kumpigia campaign.
 
Israel haipo ulaya geographically tu..
Lakini tamaduni zao kisiasa,kijamii Na kiuchumi Hao Ni watu wa ulaya kabisaaaaaa.
Kumbuka sijasema trump,nimesema people with power beyond politicians
 
Back
Top Bottom