Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ajiuzulu

makosa
Mosi,kujiondoa umoja wa ulaya kosa kubwasana

PILI,wamekua wagumu sana kushirikiana na US kwenye mission za kivita ,Ukraine hawajashiriki sana ,Iran kinyume na mikataba yao

Hivyo,serikali ichague moja kurudi umoja wa ulaya au iunge mkono kuingia kuimaliza urusi mazima kupitia ukraine
 
Uchaguzi ukifanyika wa haki, Rais wa Belarus nae ataondoka. Ni Urusi tu imemshikilia pale.
............. Uchaguzi huohuo wa haki pia ukifanyika nchini Russia dikteta Putin anaenda nyumbani kabla hata jua halijazama.
 
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Jumatatu hii baada ya kukabiliwa na shinikizo la miezi kadhaa, hatua inayofungua njia kwa nchi hiyo kupata Waziri Mkuu wa saba katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.

Akihutubia nje ya Ofisi ya Waziri Mkuu (10 Downing Street), Starmer ambaye amekuwa madarakani tangu Julai 2024 alikiri wazi kuwa amepoteza uungwaji mkono kutoka kwa wabunge wa chama chake cha Labour.

Alieleza kuwa tayari amemtaarifu Mfalme Charles III kuhusu uamuzi wake huo wa kujiuzulu, ili kuruhusu mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa chama cha Labour, ambaye pia atakuwa Waziri Mkuu mpya, uweze kuendelea. Starmer alieleza kuwa amekiomba Kamati Kuu ya ya chama cha Labour kuweka ratiba ya kumpata mrithi wake, ambapo mchakato wa kuchukua fomu za uteuzi unatarajiwa kuanza rasmi Julai 9.

Hata hivyo, Sir Keir amesisitiza kuwa ataendelea kubaki kwenye nafasi yake kama Waziri Mkuu mpaka pale mchakato huo wa kumpata kiongozi mpya utakapokamilika.

==============
UK leader Keir Starmer announced his resignation on Monday following months of pressure, kickstarting a process that will see Britain get its seventh prime minister in a decade.

In a speech outside 10 Downing Street, Starmer -- in office since July 2024 -- conceded he had lost the support of his Labour party MPs.

He said he had informed King Charles III of his decision to resign so that a new Labour leader, and therefore prime minister, could be elected.

"I will remain in post as prime minister until the contest is complete, and I will do everything I can to ensure an orderly handover of power," he said.

Starmer's authority has been waning since Labour endured a drubbing in local and regional elections in May.

He was unable to withstand the pressure any further following confirmation last week that his rival Andy Burnham was returning to parliament, clearing the path for an anticipated leadership challenge.

Burnham, a veteran Labour politician, is due to take up his seat in the House of Commons later on Monday after winning a parliamentary by-election in Makerfield, northwest England, on Thursday.

"The question my party is asking now is whether I am best placed to lead us into the next general election," Starmer said, as senior ministerial colleagues looked on.

"I have heard the answer of my parliamentary party to that question, and I accept that answer with good grace.

"Every decision I have taken has been about putting the country I love first. That is why I will resign as leader of the Labour Party," he added, choking up in an emotional speech.

Starmer said he had asked Labour's National Executive Committee to set out a timetable for his replacement, with nominations due to open on 9 July.

"This will ensure that a new leader is in place before parliament returns in September" after the summer recess, he explained.

Source: AFP
Good riddance to bad rubbish.
 
makosa
Mosi,kujiondoa umoja wa ulaya kosa kubwasana

PILI,wamekua wagumu sana kushirikiana na US kwenye mission za kivita ,Ukraine hawajashiriki sana ,Iran kinyume na mikataba yao

Hivyo,serikali ichague moja kurudi umoja wa ulaya au iunge mkono kuingia kuimaliza urusi mazima kupitia ukraine

yote hayo uliyoyataja siyo sababu kuu ya yeye kujiuzulu, sababu KUU ni islamization of england inayondelea kwa kasi, na serikali inawalinda muslims hata wale criminals, kuna raia wengi wa uingereza wamekamatwa kwa ku-posti tu on social media against islamization of england hata pale muslims wanapo-comit crimes serikali inawalinda kwa maana muslim kama wa tanzagiza wakisha-commit crime ukiwashika wanakimbilia kwenye udini kwamba ni islamophobia i.e unawashika kwa sababu ya uislamu wao hivyo unawaonea na ubaguzi, rejea grooming gangs >250 000 english girls have raped by pakis muslim gangs, riots za belfast ambapo muslim ktk sudani ambaye hakupaswa kuwepo england kataka kumchinja citizen live barabarani haya ndiyo yaliyochangia popularity yake kushuka na mwishowe kujiuzulu na siyo sijui brexit ...
 
Hahaha Huu ndo utamu wa chess YA elites,VICTOR ORBAN alipinga Vita vya ulaya dhidi YA urusi Kwa mgongo wa Ukraine
Elites wakamuondoa uwaziri mkuu wa Hungary.Sasa Keir stammer alisapoti Na kuunga mkono Vita YA Ukraine lakini akapinga Vita YA marekani Na Iran...lakini pia alipinga Sana yanayoendelea Gaza Amelia kichwa.
Bado yule wa Italia Na spain

England imekuwa na PMs 6 in 10yrs, hao wote waliondoka sababu ya vita?

Nafasi ya PM England is a revolving door. PM anatoka muda wowote. Tony Blair was the last PM aliyedumu kwa miaka 10 wengine wote wamedumu way less than that hata ajaye nae kitamramba sio muda mrefu.
 
Hahaha Huu ndo utamu wa chess YA elites,VICTOR ORBAN alipinga Vita vya ulaya dhidi YA urusi Kwa mgongo wa Ukraine
Elites wakamuondoa uwaziri mkuu wa Hungary.Sasa Keir stammer alisapoti Na kuunga mkono Vita YA Ukraine lakini akapinga Vita YA marekani Na Iran...lakini pia alipinga Sana yanayoendelea Gaza Amelia kichwa.
Bado yule wa Italia Na spain
Acha uongo toka lini Ts

Toka lini Starmer alipinga vita vya Gaza?

Unajua katika utawala wake aliweka sheria ni marufuku na kosa la kigaidi ukiunga mkono Palastina na marufuku kufanya maandamano kuunga mkono Palestina unakamatwa moja ya mafanikio yake ni kuwalinda Wayahudi

Anasema alibadilisha chama kwa "kung'oa sumu ya chuki dhidi ya Wayahudi".

Sasa wewe unaleta porojo JF.
 
Back
Top Bottom