Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ajiuzulu

yote hayo uliyoyataja siyo sababu kuu ya yeye kujiuzulu, sababu KUU ni islamization of england inayondelea kwa kasi, na serikali inawalinda muslims hata wale criminals, kuna raia wengi wa uingereza wamekamatwa kwa ku-posti tu on social media against islamization of england hata pale muslims wanapo-comit crimes serikali inawalinda kwa maana muslim kama wa tanzagiza wakisha-commit crime ukiwashika wanakimbilia kwenye udini kwamba ni islamophobia i.e unawashika kwa sababu ya uislamu wao hivyo unawaonea na ubaguzi, rejea grooming gangs >250 000 english girls have raped by pakis muslim gangs, riots za belfast ambapo muslim ktk sudani ambaye hakupaswa kuwepo england kataka kumchinja citizen live barabarani haya ndiyo yaliyochangia popularity yake kushuka na mwishowe kujiuzulu na siyo sijui brexit ...
sawa ila swala la Iran Imo
 
Watoto wa juzi hammjui Margaret Thatcher ama churchill.


Kwamba wewe ni mtu mzima sana kiasi ulikuwa hai wakati Winston Churchill alipopoteza uchaguzi mwaka 1945?

Au alipojiuzulu kwa sababu za kiafya katika awamu yake ya pili kama Waziri Mkuu wa Uingereza (1951-1955) mwaka 1955?

Margaret Thatcher alijiuzulu pia mwaka 1990 japo alitawala kwa miaka 11 (1979-1990).
 
He has shown real life. You are a man and a half. Congratulions mr. Pm
 
Acha uongo toka lini Ts

Toka lini Starmer alipinga vita vya Gaza?

Unajua katika utawala wake aliweka sheria ni marufuku na kosa la kigaidi ukiunga mkono Palastina na marufuku kufanya maandamano kuunga mkono Palestina unakamatwa moja ya mafanikio yake ni kuwalinda Wayahudi

Anasema alibadilisha chama kwa "kung'oa sumu ya chuki dhidi ya Wayahudi".

Sasa wewe unaleta porojo JF.
Unajua kuwa uingereza iliitishia Israel isipositisha Vita Gaza italitambua TAIFA la Palestine kama nchi zingine ZA ulaya...unajua issue kuu inayowaondoa labour Na conservative ni islamization of UK.
Unajua kinachoendelea Ireland.
 
Hawa Waingereza asee hawana mchezo na sijui kwanini kila anayeingia wanamkataa yaan Ndani ya miaka 10 wameshapita mawaziri wakuu Saba ! Huyu na hajakaa sana ! Wanae pia aliyewahi kujiuzuru baada siku 49 🤣 Majamaa ukishayatimba wanakuchomoa
 
Wenzetu Wapo Mbali
Tanzania Hata Ukiweka Ushahidi Hakuna Atakayejiuzuru
Wanasema Ni Upepo Tu Utapita
Umesema kwa uchungu sana Mkuu, moja ya msamiati mgumu sana nchini mwetu ni uwajibikaji, hata ufanyeje utaishia kutungiwa kila aina ya majina ilimradi ihalalishwe mkuu asijiuzulu.
 
Hawa Waingereza asee hawana mchezo na sijui kwanini kila anayeingia wanamkataa yaan Ndani ya miaka 10 wameshapita mawaziri wakuu Saba ! Huyu na hajakaa sana ! Wanae pia aliyewahi kujiuzuru baada siku 49 🤣 Majamaa ukishayatimba wanakuchomoa
Wao wana angalia msalahi ya Nchi yao kwanza kwa kila upande kimataifa na ndani ya Nchi, hawana bla bla kwenye hilo.
 
Unajua kuwa uingereza iliitishia Israel isipositisha Vita Gaza italitambua TAIFA la Palestine kama nchi zingine ZA ulaya...unajua issue kuu inayowaondoa labour Na conservative ni islamization of UK.
Unajua kinachoendelea Ireland.
Tunaomba utufafanulie kidogo kinacho endelea huko.
 
Unajua kuwa uingereza iliitishia Israel isipositisha Vita Gaza italitambua TAIFA la Palestine kama nchi zingine ZA ulaya...unajua issue kuu inayowaondoa labour Na conservative ni islamization of UK.
Unajua kinachoendelea Ireland.
Ndiyo maana nakuambia hujui lolote endelea kuwadanganya wajinga ngoja nikufahamishe.

Kusema kuitambua Palestina ni unafiki moja ya mambo yaliomuondoka madarakani ni Gaza.

Nakupa ushahidi kutoka Uingerezq siyo porojo kama zako.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
British citizens have held mass demonstrations across the UK in protest of former Prime Minister Keir Starmer's policies regarding the Gaza war. Protests were spurred by his government's stance on the conflict, weapons exports to Israel, and crackdowns against pro-Palestinian organizations like Palestine Action.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Soma na hii
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Activists and demonstrators repeatedly condemned the former Prime Minister for failing to recognize Israeli actions in Gaza as a genocide and for continuing to supply or greenlight arms to Israel.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Sasa wewe na Waingereza nani wanamjua vizur Waziri Mkuu wao.
 
JF siyo sehemu ya porojo kuna watu humu wanakuambia moja kosa lake kupinga vita vya Gaza 😅

Uingereza wameshiriki mauji ya Gaza kwa kupeleka silaha kwa siri Israel na wamepiga kuwa Israel hawajafanya mauaji ya kimbari. Na huko Uingereza ni kosa la kigaidi kuunga mkono Palestina.

The British government banned the pro-Palestinian direct-action network Palestine Action by proscribing it as a terrorist organization under the Terrorism Act. The ban makes membership, material support, or displaying support for the group a criminal offense in the UK
 
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Jumatatu hii baada ya kukabiliwa na shinikizo la miezi kadhaa, hatua inayofungua njia kwa nchi hiyo kupata Waziri Mkuu wa saba katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.

Akihutubia nje ya Ofisi ya Waziri Mkuu (10 Downing Street), Starmer ambaye amekuwa madarakani tangu Julai 2024 alikiri wazi kuwa amepoteza uungwaji mkono kutoka kwa wabunge wa chama chake cha Labour.

Alieleza kuwa tayari amemtaarifu Mfalme Charles III kuhusu uamuzi wake huo wa kujiuzulu, ili kuruhusu mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa chama cha Labour, ambaye pia atakuwa Waziri Mkuu mpya, uweze kuendelea. Starmer alieleza kuwa amekiomba Kamati Kuu ya ya chama cha Labour kuweka ratiba ya kumpata mrithi wake, ambapo mchakato wa kuchukua fomu za uteuzi unatarajiwa kuanza rasmi Julai 9.

Hata hivyo, Sir Keir amesisitiza kuwa ataendelea kubaki kwenye nafasi yake kama Waziri Mkuu mpaka pale mchakato huo wa kumpata kiongozi mpya utakapokamilika.


==============
UK leader Keir Starmer announced his resignation on Monday following months of pressure, kickstarting a process that will see Britain get its seventh prime minister in a decade.

In a speech outside 10 Downing Street, Starmer -- in office since July 2024 -- conceded he had lost the support of his Labour party MPs.

He said he had informed King Charles III of his decision to resign so that a new Labour leader, and therefore prime minister, could be elected.

"I will remain in post as prime minister until the contest is complete, and I will do everything I can to ensure an orderly handover of power," he said.

Starmer's authority has been waning since Labour endured a drubbing in local and regional elections in May.

He was unable to withstand the pressure any further following confirmation last week that his rival Andy Burnham was returning to parliament, clearing the path for an anticipated leadership challenge.

Burnham, a veteran Labour politician, is due to take up his seat in the House of Commons later on Monday after winning a parliamentary by-election in Makerfield, northwest England, on Thursday.

"The question my party is asking now is whether I am best placed to lead us into the next general election," Starmer said, as senior ministerial colleagues looked on.

"I have heard the answer of my parliamentary party to that question, and I accept that answer with good grace.

"Every decision I have taken has been about putting the country I love first. That is why I will resign as leader of the Labour Party," he added, choking up in an emotional speech.

Starmer said he had asked Labour's National Executive Committee to set out a timetable for his replacement, with nominations due to open on 9 July.

"This will ensure that a new leader is in place before parliament returns in September" after the summer recess, he explained.

Source: AFP
Da wazungu wameumbiwa matiroa gani hawa??? Samia watu zaidi ya 10 wamekufa na hataki kuachia madaraka huyu Waziri hivihivi tu anajiuzuru??? Sasa Samia na wanawe wakiona hii wanajisikiaje???
 
Kwamba wewe ni mtu mzima sana kiasi ulikuwa hai wakati Winston Churchill alipopoteza uchaguzi mwaka 1945?

Au alipojiuzulu kwa sababu za kiafya katika awamu yake ya pili kama Waziri Mkuu wa Uingereza (1951-1955) mwaka 1955?

Margaret Thatcher alijiuzulu pia mwaka 1990 japo alitawala kwa miaka 11 (1979-1990).
Hii ni Faceless forum.. hatujuani. BWT Unamjua John Rupia? Huyo ni Classmate wangu mimi.
 
Ndiyo maana nakuambia hujui lolote endelea kuwadanganya wajinga ngoja nikufahamishe.

Kusema kuitambua Palestina ni unafiki moja ya mambo yaliomuondoka madarakani ni Gaza.

Nakupa ushahidi kutoka Uingerezq siyo porojo kama zako.

British citizens have held mass demonstrations across the UK in protest of former Prime Minister Keir Starmer's policies regarding the Gaza war. Protests were spurred by his government's stance on the conflict, weapons exports to Israel, and crackdowns against pro-Palestinian organizations like Palestine Action.

Soma na hii

Activists and demonstrators repeatedly condemned the former Prime Minister for failing to recognize Israeli actions in Gaza as a genocide and for continuing to supply or greenlight arms to Israel.

Sasa wewe na Waingereza nani wanamjua vizur Waziri Mkuu wao.
Sasa hapa unachobisha Nini?
 
Back
Top Bottom