Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Kwa hiyo anataka aje awe waziri mkuu... Abadili katiba ili amweke rais chini ya miguu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly!Kwa hiyo anataka aje awe waziri mkuu... Abadili katiba ili amweke rais chini ya miguu yake
Asante kiongozi kwa ufafanuzi... Ila jamaa ni diktetaExactly!
Kwa mujibu wa wachambuzi mbalimbali wa masuala ya kisiasa.
Ni yeye mwenyewe anajiandaa kwenda kuwa Waziri mkuu. Putin amekuwa na katabia ka kuipiga chenga katiba ili aendelee kutawala.Anataka Rais ajae asiwe na mamlaka makubwa bali nguvu zaidi awe nayo Waziri Mkuu ni hilo tu
Naona anataka kumuweka mtu wake kama PM
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ni yeye mwenyewe abajiandaa kwenda kiwa Waziri mkiuu. Putin amekuwa na katabia ka kuipiga chenga katiba ili aendelee kutawala.
Katiba ya Urusi inasema rais atatawala kwa vipindi viwili kama atachaguliwa, haisemi kama inamkataza baada hivyo vipindi viwili akakaa pembeni halafu akarudi tena kugombeaAah kumbe jamaa haondoki hapo basi ni usalama wa taifa asiyetaka kujiuzulu
Asante Mkuu nimekuelewa vizuri
Sent from my iPhone using Tapatalk
Umetoa uchambuzi mzuri sana. Shida ya serikali ya Urusi sioni kama ina juhudi sana za kukuza uchumi. Wanapiga kazi sana lakini bado.Katiba ya Urusi inasema rais atatawala kwa vipindi viwili kama atachaguliwa, haisemi kama inamkataza baada hivyo vipindi viwili akakaa pembeni halafu akarudi tena kugombea
Hivyo Putin alitumia loophole hiyo ya katiba kutosema chochote kumlataza rais anayemaliza vipindi vyake viwili akakaa pembeni na baadaye kurudi tena kugombea.
Kipindi kile akamuandaa Dmitry Medvedev kuwa rais lakini kabla akahamishia nguvu na mamlaka kubwa kwa waziri mkuu halafu yeye akaenda kuwa Waziri mkuu halafu Dmitry Medvedev akawa rais lakini asiye na nguvu, hata wakuu wa nchini walipotaka kukutana na mkuu wa nchi ya Russia, walikutana na Waziri mkuu Putin.
Wakati Dmitry Medvedev anaelekea ukjngoni mwa utawala wake, Putin akaenda tena Bungeni kuhamisha madaraka kutoka kwa waziri kwenda kaa rais akijua atashinda tu.
Hivyo anachokifanya hivi sasa ni marudio tu na binafsi nilikitarajia sana.
Ajimilikishe mara ngapi?
Hahahaha dah Putin putting PutinKatiba ya Urusi inasema rais atatawala kwa vipindi viwili kama atachaguliwa, haisemi kama inamkataza baada hivyo vipindi viwili akakaa pembeni halafu akarudi tena kugombea
Hivyo Putin alitumia loophole hiyo ya katiba kutosema chochote kumlataza rais anayemaliza vipindi vyake viwili akakaa pembeni na baadaye kurudi tena kugombea.
Kipindi kile akamuandaa Dmitry Medvedev kuwa rais lakini kabla akahamishia nguvu na mamlaka kubwa kwa waziri mkuu halafu yeye akaenda kuwa Waziri mkuu halafu Dmitry Medvedev akawa rais lakini asiye na nguvu, hata wakuu wa nchini walipotaka kukutana na mkuu wa nchi ya Russia, walikutana na Waziri mkuu Putin.
Wakati Dmitry Medvedev anaelekea ukjngoni mwa utawala wake, Putin akaenda tena Bungeni kuhamisha madaraka kutoka kwa waziri kwenda kaa rais akijua atashinda tu.
Hivyo anachokifanya hivi sasa ni marudio tu na binafsi nilikitarajia sana.
HahahaHivi Warusi jf hawajafika tupate ufafanuzi?
Malcom Lumumba uko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin kwa sanaa....halafu waafrika tunashangaliwa...Katiba ya Urusi inasema rais atatawala kwa vipindi viwili kama atachaguliwa, haisemi kama inamkataza baada hivyo vipindi viwili akakaa pembeni halafu akarudi tena kugombea