Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,187
Kama Jana walikanusha maduka kufungwa kwa nguvu Kariakoo na Dodoma, bado mnawaamini hawa waliosema Magufuli ni mzima tarehe 15/3 ghafla wakatangaza kifo chake 17/3 utadhani kafa kwa ajali!Duh !!!so nusu dunia ilikuwa ikifuatilia tukio la jana la kuagwa rais wetu mpendwa..tukumbuke dunia inakadiriwa kuwa na watu bilion saba na pointi kadhaa
inashangaza kuona bado zama za kupika namba zinaendelea ..sijui wanafanya hivyo ili wamfurahishe nani.
7BHivi population ya dunia ni ngapi mpk leo maana huenda ni wachache tu ambao hawakuona
Haijalishi.Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
inategemea na population ya dunia kipindi cha mohamed ali/utakuta hiyo 1b ilikua ni 55% ya watu while 3.9b ni 40% ya poplationMmmhh uongo wa kiwango cha SGR ,yaani amevunja mara nne rekodi ya Mohamad Ali alifatiliwa na idadi ya watu bilioni 1.
Kwa hiyo nusu ya dunia ilifuatilia shughuli ya jana siyo mchezo
Mimi naona ni sahihi, kipindi cha Michael Jackson watu wengi hawakuwa na smartphone kuliko sasa kuna Tecno, Infinix, Oppo n. k ambazo zina bei nafuu.Event kubwa(Category ya mazishi) duniani iliyovunja rekodi ni ya Michael jackson(Memorial Service) ,ilikuwa na viewers bilioni 2.
Kwa hio?Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
.......na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Ni taarifa tu mkuuKwa hio?
Idadi ya watu duniani ni karibu ya watu Billion 8 (7.9bn)- kwa takwimu hizi nusu ya dunia walikuwa wanafuatilia! Sio rahisi. Youtube wana viewers wasiofikia 2.5bn duniani. Nadhani statistics sio kwa Bilioni bali kwa Milioni- ambapo bado ni wengi yaani viewers 3.9m ni wengi sana- possible pia ni 3,900 pekee - tunaweza kucheck wenyewe kwenye social media zote!Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Kama aliwadanganya Magu katuma salamu sasa leo ndio mtaamini haya?Kwanini mkuu maana ana taarifa nyingi sana huenda ni kweli.