Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.
Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani
=====
📍Makkah
🕌🕋🤲🏾
Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,
Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.
Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI