MENERIKI II
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 642
- 1,294
Hiyo ni Umrah na sio Hijjah sababu wakati wa Kuhijji bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwizi wa kura na fisadi mkubwa kaenda huko anakoamini ndiko makao makuu ya Mungu wake, kumuombea mama mkwe wake aliyemtumia atekeleze uhalifu huoBaada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.
Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani
=====
📍Makkah
🕌🕋🤲🏾
Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,
Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.
Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
Hahahah mkuu ni siasa tu au kuna mambo binafsi mmekosana.Huyo angefia huko huko mshenzi mkubwa huyo
Tusubiri tuone atakaporudi. Ni amejipiga au amepigwa na mapaparazi!?.Kuna haja ya kupiga picha na kutuonyesha unafiki wako? Unaomba msamaha kwa Muumba wako aliye sirini au kwa watu watakaoiona hiyo picha?
Unapoomba msamaha kwa Muumba wako ina maana unajutia madhambi yako ns unaacha. Akirudi ataacha kazi na kutubu kuiba kura na kuengua wapinzani na kuacha hiyo kazi?
duh! Mh!Huyo angefia huko huko mshenzi mkubwa huyo
Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.
Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani
=====
📍Makkah
🕌🕋🤲🏾
Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,
Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.
Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
ukisoma comments za wachangiaji hapa unaona wazi kwamba ipo chuki kubwa sana kati ya Watawala na wananchi. chuki ni kubwa,Huyo angefia huko huko mshenzi mkubwa huyo
Na watawala ndiyo wanaitengeneza chuki hii kwa kutotenda haki.ukisoma comments za wachangiaji hapa unaona wazi kwamba ipo chuki kubwa sana kati ya Watawala na wananchi. chuki ni kubwa,
Ule ushenzi aliofanya November 2024 otherwise sina chuki naye binafsi kwanza simfahamu zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari. Lolote baya limkute. Ushenzi aliosimamia umesababisha watu kuuliwa na wengine kupotezwa.Hahahah mkuu ni siasa tu au kuna mambo binafsi mmekosana.
ANAFANYA IBADA ZA SHETANI NDIO MAANA SHETANI HAMUUI KWANI VITU ALIVYOFANYA TZ NI USHETANI KM ANAOUFANYA SASAHuyo angefia huko huko mshenzi mkubwa huyo
Ni unafiq wa hali ya juu sana,ibada ni kati ya mtu na Mungu wake sasa kuwaonyesha wengine kuwa unafanya ibada ni ushamba na unafiq.Nipige picha nikiswali nipost
Hii dunia ya sasa ni shida
Mambo aliyofanya uchaguzi wa serekali za mitaa bado ana ujasiri wa kwenda Mecca !.Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.
Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani
=====
📍Makkah
🕌🕋🤲🏾
Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,
Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.
Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
Mhhh haya mkuu.Ule ushenzi aliofanya November 2024 otherwise sina chuki naye binafsi kwanza simfahamu zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari. Lolote baya limkute. Ushenzi aliosimamia umesababisha watu kuuliwa na wengine kupotezwa.