- Thread starter
- #81
Si utani, imani na dini imekuwa chaka la waovuUko sahihi. Anawalenga wapiga kura wale wa upande ule wanaobudia kila kitu toka makka kwa ntume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si utani, imani na dini imekuwa chaka la waovuUko sahihi. Anawalenga wapiga kura wale wa upande ule wanaobudia kila kitu toka makka kwa ntume.
Nakubaliana nawe. Ni kwa sababu waumini walio wengi walinyang'anywa bongo zao wakajazwa uzwazwa na myths tena wengine wanajiita wasomi.Si utani, imani na dini imekuwa chaka la waovu
We unaishia kuzuru uyole na tukuyu, afu baadae unaenda kunajis vitotoUmra ni ibada ya Kiislamu inayojumuisha ziara takatifu katika mji wa Makka, ikihusisha matendo kama vile kufanya Tawafu (kuzunguka Al-Kaaba mara saba) na Sa'ee (kukimbia baina ya Safa na Marwa), ambayo inaweza kufanywa wakati wowote wa mwaka na si ya lazima kama Hijja.
Wanasababisha tukufuru hebu fikiria walivyomteka na kumuua Ali Kibao halafu mama mkwe wa Mchengerwa anasema kifo cha kawaida. Kesho wanaenda hija, kweli God thing is a jokeVitu kama hivi vimepelekea watu kuanza kuamka na kuona mambo ya Mungu ni simulizi tu
Kuhiji ni mahali popote kwa vile dunia yote iliumbwa na Mungu. Huko kunakoitwa kutukufu ni kutapeli mazwazwa na malimbukeni tu. Kuna ardhi takatifu kama Afrika?We unaishia kuzuru uyole na tukuyu, afu baadae unaenda kunajis vitoto
nimeshangaa heading...muda huu na hijja wapi na wapiNi Umrah sio Hijja.
SawaHiyo ni Umrah na sio Hijjah sababu wakati wa Kuhijji bado
Ili azidi kupendwa na mkwe anaweza akapewa uwaziri mkuuMwizi wa kura na fisadi mkubwa kaenda huko anakoamini ndiko makao makuu ya Mungu wake, kumuombea mama mkwe wake aliyemtumia atekeleze uhalifu huo
CCM imetengeneza wajinga na mfumo wa uchawa kiasi wote wamekuwa wajinga, Mwigulu alipata ajali wakati wa Magufuli alipotoka hospitali aluanza kumshukuru Magufuli kabla ya Muumba wake. Angalia chawa wa mama anaupiga mwingi walivyojaa.Yaani mtu asimamie hovyo - uchaguzi - kasimamia wizi wa kura..halafu anaenda kumdhikaki Mungu..nyie kuna watu Mungu atawanyoosha sio mchezo..
Cha pili binadamu ni mtumwa kwa mtu anayempa ugali - imagine anasema amemuombea Rais Samia - [ hatukatai] - but why haanzi kusema nimewaombea Baba, Mama yangu,mke,watoto wangu- familia yangu.[family first- ndo watu wetu wa karibu kupita kawaida]....duuh...kuna mambo utumwa kabisa...Kama vipi angekausha tuasiseme kaomba nini- watu tunatofautiana sana
Matendo ya kiongozi a public figure yasiwe habari kwenye jamii anayoiongoza, are you serious?Kwann iwe ni habari? Na wakati ni suala lake binafsi?.
Au anaiwakilisha Nchi?.
Msamaha bure hapa ndio tunazidi kupata elimu wengine tulikuwa hatujui tofautinimeshangaa heading...muda huu na hijja wapi na wapi
Duuh kwanini iwe habari? Kaenda kama Kiongozi? Au kaenda kama wengine wanavyoonekana hapo kwenye picha?.Matendo ya kiongozi a public figure yasiwe habari kwenye jamii anayoiongoza, are you serious?
Dini imekuwa uhuni mkubwa, hizi dini ni ujambazi mtupu.Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.
Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani
=====
📍Makkah
🕌🕋🤲🏾
Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,
Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.
Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
Saudi Arabia wanajuwa namna ya kucheza na akili za watu. hapa hamna lolote zaidi ya utalii tu. Atarudi Tanzania huyu na ataendeleza uchawi kama kawaida, si mwaka wa uchaguzi huu?Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.
Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani
=====
📍Makkah
🕌🕋🤲🏾
Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,
Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.
Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
Hamna lolote hapo, msubiri arudi nchini...uchawi pale pale tu.Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.
Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani
=====
📍Makkah
🕌🕋🤲🏾
Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,
Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.
Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
Napita tuHija ya maonesho!!
KWa ule usnenzi aliojfanya kwenye uchaguzi, bado anaona ana uwezo wa kuendelea kuwahadaa watu!!