Waziri Mohamed Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI, aenda kuhiji Makkah

Anamshukuru Mungu kwa wizi mkubwa wa kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na Anajiandaa na wizi mkubwa wa kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. 🤣
 
Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.

Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani

=====

📍Makkah

🕌🕋🤲🏾

Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,

Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.

Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
Kweli Mwenyezi Mungu ana huruma kwa wizi ule wa kura na kuuwa wagombea hii ni KUFRU.
 
ukisoma comments za wachangiaji hapa unaona wazi kwamba ipo chuki kubwa sana kati ya Watawala na wananchi. chuki ni kubwa,
Lakini wao wanawatumua chawa kuwapamba kuwa wanaupiga mwingi na wanapendwa
 
Eti anaamini baada ya kuwafanyia ubaya Watanzania kwa kudhulumu haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ameenda kufanya ibada na anaamini Mungu atamsamehe madhambi yake yote! Lakini la ajabu zaidi unaweza kukuta hata hela iliyomfikisha huko ni ya dhuluma na akirudi ataendeleza vitendo vilevile vya dhuluma dhidi ya Watanzania, Mungu hadhiakiwi kwa namna hiyo.
 
Mambo aliyofanya uchaguzi wa serekali za mitaa bado ana ujasiri wa kwenda Mecca !.

Kuanzia leo nachukulia kwenda Mecca sawa na kwenda Serengeti.
Siyo utani mkuu wamepanajisi ule utukufu wake, zamani hata siye tunaoitwa wakorintho ukisikia katoka Makka unakuwa na heshima nae
 
Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.

Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani

=====

📍Makkah

🕌🕋🤲🏾

Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,

Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.

Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI

Hivi nani walikua nyuma ya ugaidi uliokua umetikisa nchi awamu ya 5 mana kuna mashaka yananijia sana nikiona baadhi ya wanasiasa na roho zao mbaya.

Any way kuna WATU ukiwaambia kuna taifa la Mungu wanakataa lakini wanakubali kuwa kuna mji mtakatifu wa Makka unaoweza kuondoa dhambi zote za mtu hata kama ulidhulumu vipi na kufanya ugaidi na kuuza madawa ya kulevya na kila aina ya dhulma ikiwemo kuuza WATU kama samaki . Ukifika hapo unazaliwa upya kama mtoto mdogo . Ok, Shetani naye anaabudiwa kwa mbinu nyingi bila WATU kujua .

Masihi Yeshua Mwana wa Mungu alisema kuwa Mtawatambua kwa matendo yao.
 
Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.

Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani

=====

📍Makkah

🕌🕋🤲🏾

Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,

Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.

Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
Mkwe wa mama lazima afaidi kila kinachoweza kufaidiwa. Usicheze na kuoa mtoto wa mtukufu mama.
 
Mwenye kifua kipana akaonyesha jinsi alivyoweza kumudu kuiba, kuengua wapinzani sababu ya kifua chake
 
Kweli. Acha aende kutubia madhambi yake kwa anavyodhulumu taifa chini ya utawala mbovu wa kifamilia na kimalkia.
 
Sifa za kujihi maka ni zipi, yaani mchengerwa huyuhuyu wa serikali za mitaa wajemani?
Sifa za kuhiji Makka kwa hawa wapuuzi ni umaarufu ndio maana wanapiga mapicha na uwezo wa kupanda ndege kwenda huko
 
Back
Top Bottom