Waziri Mohamed Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI, aenda kuhiji Makkah

Waziri Mohamed Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI, aenda kuhiji Makkah

Ukimchunguza kwa makini huyu jamaa tofauti yake yeye na Nape ni ndogo sana
Sijui uyu alimaanisha nn kuwalinganisha lkn ikiwa ulikusudia goli la mkono safi mh Nape yupo kwa mbowe wanajadiliana jinsi kuendesha uchaguzi kwa democracy haki itendeke kuondosha malalamiko yasio na lazima!!!!!
 
Amekwenda kutubu dhambi za Uchaguzi. Huwa naamini Waisilamu wengi ni wapenda haki. Kumbe nakosea
 
Tunakuona Mudi gway kifua kikubwa, endelea tu kutung'oka Watanganyika...Uchaguzi tunaiba na Masjid kama kawa..dadekiì
 
Ndio hapa wanadamu tunapodanganywa kwamba kuna kutubu na kusamehewa...hii haipo kilq mtu atakufa na kuhukumiwa kwa dhambi zake alizovuna 🤣
Mungu husamehe yale uliomkosea yeye tu lakini uliyowafanyia wengine ni sharti wale uliowakosea wakusamehe na ndipo Mungu husamehe. !
Vinginevyo Nyanza ya moto itawahusu wote wanaohusika !
Duniani tunapita tu ! Na mateso huanzia hapahapa ili iwe fundisho kwa watu !
 
Dini imekuwa uhuni mkubwa, hizi dini ni ujambazi mtupu.
Wachawi, wezi, mafisadi na wauaji kichaka chao dini. Wakikutana viongozi wa dini wezi wenzao kama Askofu Pengo na yule wa KKKT aliyesema mama Abdul ni chaguo la Mungu. Sheikh al had na yule chizi sheikh idi nani sijui, wanamkufuru MUUMBA
 
Duuh kwanini iwe habari? Kaenda kama Kiongozi? Au kaenda kama wengine wanavyoonekana hapo kwenye picha?.

Nadhan ingekua habari, Vyombo vya habari vikuu hapa nchini vingempa angalau dakika Moja tu.

Hilo ni suala Binafsi la Imani yake , angeamua kutokwenda pia bado Watanzania wasingemsema.
Kwa wewe kwa mtazamo wako, kweli sababu zako za uchawa maybe siwezi kukubishia. Ila jamii za wastaarabu kiongozi ni kioo cha jamii matendo yake yanaakisi jinsi alivyo.

Kwa akili ndogo ni lazima vyombo vikuu vya habari vingetangaza, ila kila habari hata zile kashfa kubwa zilitangazwa na vyombo vya habari vikubwa? Ukiwa kiongozi maisha yako binafsi siyo siri na hii ni kwa watu wote maarufu.

Ukiwa na akili za uchawa utaona tofauti
 
Saudi Arabia wanajuwa namna ya kucheza na akili za watu. hapa hamna lolote zaidi ya utalii tu. Atarudi Tanzania huyu na ataendeleza uchawi kama kawaida, si mwaka wa uchaguzi huu?
Mkwewe kaahidi uchaguzi huu ujao utakuwa huru na haki
 
Hija ya maonesho!!

KWa ule usnenzi aliojfanya kwenye uchaguzi, bado anaona ana uwezo wa kuendelea kuwahadaa watu!!
Na kuna wajinga bado watamteta waliozoea kufanywa kondoo wa kafara
 
Keleleee nyingi lkn tunawajua unafiki UYesu ndio unawasumbua chuki imewajaa mngesikia kaenda kuhiji ISRAEL mngemsifia mlivo weupe vichwani!!! Uchaguzi kafanyaje mmekosa tuhuma za kumshutum mmedakia Uchaguzi toka tunavyama vingi nchi hii Wapinzani awajawai kuweka wagombea kwa 100% niCCM tu ndio inaweka 100% wapinzani Siasa zao za kubet wanatafuta seem kidogo kuna ishala ya Upinzani ndio wanaweka mtu wao huu mwaka tu Wapinzani wote wameweka wagombea 35% tu manake CCM ilishashinda kwa 65% na uchaguzi bado kufanyika ulipofanyika kugombea iyo 35% CCM ikashinda 33% upinzani 2% sasa kiakili ya kawaida mh Mchengerwa anausikaje apo wapinzani wenyewe awajaweka wagombea nchi nzima lkn wanakuja kupotosha nyumbu wao mitandaoni kuwa uchaguz umechafuliwa lkn tungeshinda!!!!!!!!!! Sasa unashindaje na ukugombea kwa 100% Nyumbu poleni sana mmebabe mzigo mzito vichwani!!
😂😂😂 don't argue with a fool, he'll pull you down to his level and beat you with experience. And you proving to be an experienced fool
 
Nimeamini Dini ni scammer,yaani wizi wa uchaguzi halafu unaenda mekha
Viongozi wa dini wameacha kuhubiri kuhusu kuacha dhambi na kutubu, wanahubiri kuhusu mafanikio ya kiuchumi hasa upande wa Wakristo(Walokole).

Ukija upande wa Waislamu mahubiri yao wanajitahidi kuhubiri kuhusu kumrudia Mungu na hapo hapo ni mabingwa wa kuhubiri kuhusu utengano na watu wa imani nyingine. Kibaya zaidi upande huu wameishika sana dini kuliko Mungu na matendo yao.

Si vyema kuhukumu lakini sote tulihushuhudia matendo ya huyo Waziri kwenye uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Lakini mtizame hapo alivyoishika dini.
 
Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.

Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani

=====

📍Makkah

🕌🕋🤲🏾

Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini,

Saa Sita Kasoro usiku wa tarehe 31 mwezi December 2024 ulinikuta katika Kaaba 🕋 mji mtukufu ambapo tarehe 1 Jan. 2025 nilibahatika Kufanya ibada ya Umrah katika msikiti huu mtukufu wa Makkah 🕋 , na kutumia muda mwingi kumuombea Mhe Rais. Dr Samia suluhu hassan Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezimungu amjaalie Afya, Umri na aendelee kutuongoza Vyema, aendelee kumjaza Rehema na Baraka, ujasiri na Uongozi: nimetumia masaa kadhaa Pia kuwaombea wananchi wa Rufiji, Pamoja na Watanzania wote kwa Ujumla.
View attachment 3190672
Mwaka 2025 uwe ni Mwaka wa Mafanikio kwa kila mmoja wetu, Tufanye kazi kwa bidii na kuleta mshikamano kwa Pamoja katika Mapinduzi ya Fikra, kuwabadili Fikra za Yule asiyeamini akaamini kwamba kila jambo Linawezekana.

Ninawatakia kheri na Baraka za Mwaka mpya 2025-MCHENGRWA/MTUKAZI
😆😆😆😆
 
Attachments

  • VID-20250106-WA0032.mp4
    6.3 MB
Back
Top Bottom