Mh Mpango mimi naombi moja ni bora ukubali jiuzulu au uendelee kusimamia kile mnakiamini kwamba pesa ipo na watu wameficha hivyo mnapambana kuzipata hizo pesa kwa ku impose new tax return na kufuwatilia madeni ya zamani nakuapia kuna madeni hayalipiki.
Mkuu bora lawama kuliko fedhea. Yani huku chini hata kama huna macho unajuwa hali sio shwari. Unapo enda hosp ya serikali ukaona Dr anahangaika amuandikie dawa gani mgonjwa ndipo unajuwa kazi ipo. Unapo ona TRA wanapambana na kukusanya kodi nakupiga ma penalty ambayo hata huwelewi nini ni nini unajuwa kazi ipo tena kazi ipo.
Unapo ona waziri anapambana na matumizi unajuwa kwenye chungu kuna shida. Hapo sijasema swala la mauzo ya Forex na uingizaji wa bidhaa. Embu angalia importation ya magari 2015 vs 2020 hapo ndipo utanielewa ninachokisema.
Angalia Purchasing power PP ya 2015 vs 2020 ndipo utajuwa nikiasi gani bihashara zimeshikwa mahali pabaya. Watu hawana hela ya kufanya purchasing ila taifa tupo uchumi wa kati then how taifa lauchumi wa kati watu wameshuka kwenye purchasing power? While uchumi wa kati unaendana na raise on GDP? Sasa ktk hali kama hii sio indicator nzuri kwa uchumi.
Deni letu lina paa yes ndio tanafanya ujenzi ila deni hili litabebwa kwa miaka mingapi? Mtu mmoja akasema hatuwezi kusema eti sisi deni letu halifanani na wenzetu kama Japan au marekani wenye big national debit. Tofauti yetu na wao. Wao wanakopa katika currency yao Ila sisi tunakopa kwenye currency yao i.e ina maana kwenye inflation sisi twaumia. Yani kwa kadri USD value ikipanda deni linatuumiza principal and interest.
Utaratibu wa force account ni utaratabu ambao serikali baadae isipo kuwa makini itajikuta ime spend zaidi ktk matumizi ambayo sio ya lazima. Force account nikulazimisha tumia kuliko ulicho nacho.. pia inaweza leta inflation kwa sababu utaratibu wa force account ni sawa na money creation bank principle ambapo serikali inatumia pesa zake in advance while hana hiyo pesa as result asipo ipata anazidi kuwa na deni lisilo na riba ila mwisho wake serikali ina ishia print pesa kuziba deni lake la ndani hiyo pesa inaishia ndani wala haiji ktk mfumo wakawaida. Force account inaweza kukufanganya upo vizuri ila ina hathari kwenye uchumi. Maana nisawa na serikali kufanya bihashara na pesa zake mwenyewe.
Taifa likiwa na uchumi stable unemployment rate inakuwa very low. Tuseme ukweli unemployment rate 2014 vs 2020 ni kubwa sana. Hii haileti afya ktk uchumi inaleta maswali magumu ktk uchumi.
Mh Mpango moja ya wajibu wa waziri ktk katiba na muongozo wa vikao vya baraza la mawaziri nikumshauri kwa hekima Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Sio kwa hofu ila kwa busara na hekima hapa hoja kubwa iliopo mbele yetu serikali ime over promising. Na niukweli usio pingika ktk vitabu kwamba expenditure ya serikali haipaswi kuzidi pato lake la ndani nahapa ukweli ni kwamba tuki sum up all this miradi na mikopo serikali imekopa miradi hii inazidi pato la ndani yani tunacho collect kinazidiwa na expenditure. Nahapo ndipo utungu unashuka chini kwetu Raia.
Unapo pita pale Kariakoo nakuona watu wamejipanga barabarani nakuuza mitumba ule sio uchumi ni ichuuzi na mchuuzi ni mwekwepa kodi namba moja na taifa linataka walipa kodi ni wazi kuwa mapato ya kodi ya mkoa wa kikodi ilala na mapato ya tozo mbali mbali kwa kile kinaendelea kariakoo yameshuka huu sio uchawi ila ni formla ya biashara. Hakuna mfanyabihashara mwenye akili timamu atauza vitu kwenye duka umpige vat while anaweza gawanya mali kwawatu kadhaa akasambaza barabarani nakujifanya chinga hili ni goli la mkono mlianza kujifunga kwenye kauli waachie wafanya biashara wadogo wasisumbuliwe na leo lina itesa serikali. Ukiwa kama waziri wa fedha na waziri mwenzako wa bihashara mlipaswa kumtaarifu Rais before hii hali haijawambaya.
Watu hawafanyi biashara kwa uwazi nadhani black market awamu hii ndio imeshika kasi kuliko wakati wowote ule why mawaziri au wahusika hamkushauri vizuri serikali mkafikiri eti mnataka muonekane wema sasa siku zaja uwenda mtajibeba wenyewe kwa makosa yenu wenyewe. Sitaki kuamini kwa hali hii badiliko hayatokuweko 2021 kwenye baraza la mawaziri.
Nasema hivi kwa sababu waziri mzuri una achia ngazi kuonyesha uadilifu wako nakuepuka lawama hii sio mara ya kwanza Mbona Cleopa Msuya aliachia ngazi baada yakuona anapingana na mjamaa ila mjamaa baadae akaona waziri yule ana akili akamkubali nakumrudisha. Tatizo kubwa la mawaziri wa sasa mnasifia sana nakusahu jukumu lakushauri Amiri jeshi Mkuu wa majeshi yaulinzi kwa kuhofia kutumbuliwa. Swali ni je mlizaliwa mawaziri? If no why mnapata shida kusimama kusema ukweli?
Mbona Ndungulile karudishwa while alisimamia ukweli juu yaCovid19? Mbona kama Covid 19sio issue mbona Mh Rais amekuwa mpole haizungimzii sana? Ina maana ameujuwa ukweli.
Mwambieni Mh Rais kwa hali ilivyo asisubiri kuona hali ikiwa mbaya zaid ya hapa mfumo wa cash budget ni wahatari kwa nchi changa kama ya kwetu pia apunguze miradi abaki na miradi michache ya kimkakati. let change for the better of our nation. Huwezi maliza yote hata Roma haikujengwa kwa siku moja. Good luck