Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Neno wenye masikio na wasikie. TRA wanatoa Agency notice kupiga pin akaunti za wafanyabiashara wanafatilia tangu 2010.... ulete proof malipo taarifa sambamba na pin Ac hata kabla majibu, anguko kubwa la mabenk linakuja.
Approach ya awamu hii niliifananisha na ya enzi za Nyerere. Mbinu za Nyerere ndio zilifanya tukwame hadi kuvaa viraka. Cha ajabu tukarudi kwenye mbinu zilezile. Nilipoanza kusikia tunatekeleza ndoto za Nyerere, sijui tumepata Nyerere mpya nilijua lazima tuishie pabaya. Kwa sasa wachina tu ndio kimbilio letu. Na nijuavyo wachina wa sasa, tunywe tu mtori nyama tutazikuta chini.