Waziri Mpango mshauri Rais mpunguze idadi ya miradi, pia kuzuia miradi hali sio nzuri

Waziri Mpango mshauri Rais mpunguze idadi ya miradi, pia kuzuia miradi hali sio nzuri

Nisaidie namna ya kujua purchasing power ya 2015 na 2020 wapi naweza kupata data mkuu?
 
Hii inaitwa tega nikutege
Ajaribu kufungua huo mdomo wake .

Ashaambiwa Kuna reserve ya kutosha

Kimei Yuko standby

Trust me akifunua tu mdomo kimei anazama ndani[emoji1][emoji1787]
 
Back
Top Bottom