Waziri Mpango mshauri Rais mpunguze idadi ya miradi, pia kuzuia miradi hali sio nzuri

Neno wenye masikio na wasikie. TRA wanatoa Agency notice kupiga pin akaunti za wafanyabiashara wanafatilia tangu 2010.... ulete proof malipo taarifa sambamba na pin Ac hata kabla majibu, anguko kubwa la mabenk linakuja.

Approach ya awamu hii niliifananisha na ya enzi za Nyerere. Mbinu za Nyerere ndio zilifanya tukwame hadi kuvaa viraka. Cha ajabu tukarudi kwenye mbinu zilezile. Nilipoanza kusikia tunatekeleza ndoto za Nyerere, sijui tumepata Nyerere mpya nilijua lazima tuishie pabaya. Kwa sasa wachina tu ndio kimbilio letu. Na nijuavyo wachina wa sasa, tunywe tu mtori nyama tutazikuta chini.
 
Waambie chadema wajenge ofisi ya chama basi kama wewe ni mchumi kweli

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Ajaribu kufungua huo mdomo wake .

Ashaambiwa Kuna reserve ya kutosha

Kimei Yuko standby

Trust me akifunua tu mdomo kimei anazama ndani[emoji1][emoji1787]
Kuna wakati kipindi kile cha sakata la makontena ya Mtoto Pendwa, Jamaa wa masurufu aliandika barua ya kuachia ngazi. Majibu yalikuwa "Mimi ndiye nimekuteua na hukuleta barua ya maombi kwangu, nafahamu sababu za kukuweka pale na ni lini itakuondoa. Rudi ofisini kachape kazi."

Hakuna kuachia ngazi kwa Mkuu bali anahitaji kukutimua nduyo furaha yake ili atakaemleta awe na hofu.
 
Kudos chief, the listening ear can never be cut off at the head.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Wana Jiji la Mwanza tunasubiria kwa hamu mradi wa ujenzi wa four ways kutoka katikati ya jiji hadi Usagara. Mradi huu utaanza mapema January, 2021. Hayo maneno ya kupunguza miradi, msubiri kwanza.
 


Ni sawa na kumpigia gitaa Mbuzi.
 
Bwa mdogo sijakuelewa! Unataka madili yaanze kupigwa tena? Forced account ni nzuri ila inahitaji usimamizi mkubwa sana.

Awamu hii nini kitakufanya uvae viraka? Unaposema wachina tu unamaanisha nini? Unao uhakika na unachosema?
 
Bandiko lako limejaa malalamiko na masikitiko
Unataka Tra wasikusanye Kodi?
Mwaka 2015,bandari ya Dar ilikua inaingiza bilioni 60 kwa mwezi,lakin mpaka kufikia July 2019 bandari inaingiza bilioni 300 kwa mwezi
Maana yake hiyo bilioni 240 ilikua inachukuliwa na majizi wanakwenda kutapanya na kuhonga,ndio Mana unasema purchasing power ilikua kubwa,lakini ni feki kwa sababu ya heli ya wizi
Hakuna maendeleo bila kuumia,lipeni kodi
 
Mkuu una proof yoyote kuhusu haya makusanyo? au nawee ndio kila unachoambiwa unapiga makofi bila kudadisi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Eti bilioni 300 hebu acheni uwongo wenu nyambafu wakubwa umeanza yale yale ya ushindi wa asilimia 82
 
Tuliambiwa Chadema ndio walikuwa wanaloga nchi ili uchumi usikue, sasa kwa kuwa Magufuli ameamua kuwadhulumu sasa tunasubiri kuona nchi ikipaa kiuchumi na kuwafukuzia Nigeria na South Africa. Let us wait and see.
 
Mwacheni rais achape kazi wananchi wa Tz wamemuamini.Kuhusu miradi tunajenga kwa pesa za ndani hii nchi tajiri sana.Tumeanza kukusanya kodi wanaolalamika ni wale waliozoea janja janja.Lakini nchi ss inaendesha kiweredi na wenye PhD zao.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hela ipo sana mtaani!

Mzee baba ongeza miradi ya kutosha, tena sisi kama wananchi tunashauri serikali inanzishe mara moja mradi wa kupeleka chombo Kwenye sayari ya Jupita
Eeee baba Magufuli tunataka utupanulie mabarabara Dar to Mbeya Dar Mwanza Dar Arusha tunataka njia nne , halafu pale chalinze tuwekee li fly over jingine baba magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…