Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

Kwani Azam wanapata ruzuku serikalini? Hii ni biashara ya mtu binafsi na mfanya biashara yoyote lengo ni faida. Haya mambo hayamuhusu waziri wala serikali ni maamuzi ya kampuni binafsi hata sokoni tunaenda tunakutana na bei mpya lakini tunanunua. Kwa Azam kama huliwezi ni kuhamia sehemu unayoweza hakuna aliyelazimishwa kununua.
Upo sawa kichwani kweli? Leo ukiuziwa saruji 100000 mfuko1 kwakuwa ni biashara ya mtu utaona ni Sawa? Nyie ndiyo majinga mliopo nchini. Serikali kazi yake ni ku regulate na ku control inflation ili wananchi wapate huduma kwa bei nafuu.
 
Mkuu, Azamtv sio maji, ukiona bei kubwa hama bana
 
Azam Tv wanapandisha bei za vifurushi kiholela pasipo ongezeko la channels mpya.

Unapopandisha bei za vifurushi lazima kwanza uzingatie kuongeza channels mpya ambazo hazikuwepo ili kuweka uwiano kinyume na hapo wanatakiwa kudhibitiwa na Serikali.

IMG_1806.jpeg
 
Nilivyoona tu wanapromo vifaa vipya, nikasema hiii, Baghosha wanataka kutuingiza mjini😀😀
 
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.

Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama blackmailing, hakuna media nyingine wanaowapa ushindani kwenye mpira kwa Sasa. Ongezeko hilo sio halisia na maisha ya wananchi, ajabu Mzawa mwenzetu anatunyonya kuliko wageni wawekezaji.

Mmesubiri home boy apigwe chini ndio mlete ongezeko! Waziri nakusihi, liangalie kwa jicho la wananchi wanyonge..
Hawa jamaa eti ndio tunataka kuwapa Treni zetu za Mwendokasi! Wallah watatumaliza
 
Mtu anayelipia ving'amuzi vya tanzania sijui ninamuonaje kwakweli. Yaani unalipia hayo uangalie ma channel ya bongo na mamipira ya bongo hivi hamuoni kinyaa
 
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000; 3000 kuwa 4000; 500 kuwa 600; 1000 kuwa 1200.
 
Kwani huko Azam kuna nini cha ziada mbona mnapaendekeza sana
Kifurushi cha Azam cha elfu 17 Zuku kinauzwa buku 4
 
Azam tv hawakurupuki kupandisha bei ukiona hivyo ujue kuna michakato imefanyika kwa kuwasilisha maombi serikalini na sababu kwanini unatka uongeze bei. Serikali ikijirishisha ndo inaruhusu mabadiliko hayo so serikali inajua. Azam kaongeza la liga na serie A unategemea bei iwe sawa na zuku? Kwasasa azam anaonesha ligi karibia zote kubwa ulaya (isipokuwa epl) unategemea hiyo huduma auze kwa bei ya chini. Ukirudi kwenye NBC premier azam yy ndo producer tofauti na Dstv yy anachukua kutoka chanzo kingine(kwa epl nadhani ni sky sports ndo wanaproduce sina uhakika sana) na gharama za kufanya production ni ya live mechi ni kubwa sana pengine kushinda hata gharama ya kurusha hewani.
Kifupi ni kuwa Azam tv wapo sahihi bei bado ni za kizalendo ukilinganisha na huduma
 
Mmesubiri home boy apigwe chini ndio mlete ongezeko! Waziri nakusihi, liangalie kwa jicho la wananchi wanyonge..
Waziri Hana cha kuongea mbele ya wale mabwana wa TCRA kwa hio usimchonganishe hagawi bandwidth yeye
 
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.

Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama blackmailing, hakuna media nyingine wanaowapa ushindani kwenye mpira kwa Sasa. Ongezeko hilo sio halisia na maisha ya wananchi, ajabu Mzawa mwenzetu anatunyonya kuliko wageni wawekezaji.

Mmesubiri home boy apigwe chini ndio mlete ongezeko! Waziri nakusihi, liangalie kwa jicho la wananchi wanyonge..
Vumilieni tu si mnataka kumuona domo aziz ki!
 
Back
Top Bottom