Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

MWIGULU KISHAFANYA YAKE SERIKARI NDIO VITU INAPENDA IVYO KUONA WANANCHI WANALIALIA MAISHA MAGUMU GHARAMA ZINAPANDA KILA KITU KIPO JUU

MH RAIS YUPO BIZE NA KUTENGUA NA KUTEUA YAN MBAKA SIKU MUWE NA AKILI WATANZANIA MTAKUA MMECHAKAA SANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa nashangaa quality ya rangi ya Azam, tofauti kabisa na Dstv, and i was told kwamba kadri quality inavyokuwa kubwa, ndivyo gharama zinaongezeka(niliambiwa kwenye kijiwe cha kahawa).

Anyway, tumeshangilia yale mavifaa ya Azam Tv, sijui kamera ya milioni 500 na kumsifia Azam kwamba ni tajiri, kumbe sisi tumeyanunua kwa tozo hizo za vingamuzi.

Silaa msimdanganye, kabla hajaanza machachari ajiulize Azam inatokea wapi, na ina nguvu kiasi gani
 
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.

Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama blackmailing, hakuna media nyingine wanaowapa ushindani kwenye mpira kwa Sasa. Ongezeko hilo sio halisia na maisha ya wananchi, ajabu Mzawa mwenzetu anatunyonya kuliko wageni wawekezaji.

Mmesubiri home boy apigwe chini ndio mlete ongezeko! Waziri nakusihi, liangalie kwa jicho la wananchi wanyonge..
Kufidia gharama za uendeshaji bana
 
Azam waje hapa kutoa ufafuzi,wasidhani kuonesha Ligi kuu Bara na kuja na VAR ndio Kihalalisho Cha kutupiga kwenye bei za Vifurushi Vyao kuanzia 1/8/2024.

Waziri wa Mawasiliano Anza na Hili.
Screenshot_20240724-122806.jpg
 
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.

Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama blackmailing, hakuna media nyingine wanaowapa ushindani kwenye mpira kwa Sasa. Ongezeko hilo sio halisia na maisha ya wananchi, ajabu Mzawa mwenzetu anatunyonya kuliko wageni wawekezaji.

Mmesubiri home boy apigwe chini ndio mlete ongezeko! Waziri nakusihi, liangalie kwa jicho la wananchi wanyonge..
Hovyo kabisa Hawa
 
Nimeshangaa baada ya watu kulalamika humu eti wamepandishiwa vifurushi vya azam tv kumbe kuna watu bado mnatumia huu uchafu aisee huku masaki tulishasau huu uchafu aisee kweli watanzania bado masikini azam ilivyo na quality mbovu hivo bado watu wanatumia wakati Kuna unyama DSTV quality bora inayolingana na pesa unayolipa wakimbieni hao mnaibiwa watanzania yote hayo Ili kuhangaika na timu za waganga wa kariakoo ambazo zinacheza mpira kama wanalima mnafanya nini watanzania ushamba utaisha lini aisee unanunua azam kisa uchafu wa simba na yanga
 
Namna ulivyoandika haisadifu kwamba una kisimbuzi cha DSTV na kama unacho sidhani kama unalipia.
 
Hakuna kingine cha kuangalia kwenye Azam zaidi ya mpira wa kibongo, kama sio dstv potezea.
 
Hao dstv wana vifurushi vya aftatu tuje?
Hata kama million nalipia tu ila quality na vipindi vinaeleweka sio ao azam matapeli channel kama ukungu vipindi. Vya watu wa buza tu Mpira wa wavunja kuni wa tanzania yaani Mimi niangalie uchafu wa ligi ya tanzania
 
CCM Mbele Kwa mbele.

Waziri mpya apunguze charges ambazo sio za lazima kwenye bundles turudi kule kule Miaka ya kikwete GB 1 Kwa 1000 Tu au chini ya hapo.
 
Back
Top Bottom