ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake
Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai
Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria
Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani watu wa football, hip hop, singeli, bongo movie na kadhalika, 99% ni vijana
Sasa Leo amekuja Mzee mstaafu kuongoza hii wizara, kwakweli naona viatu ni vikubwa havimtoshi.
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Kwanini mh Rais asimwamini mwana FA akawa waziri kamili wa sanaa na michezo kwakuwa Bado ni kijana
Mh Rais mpeleke Professor Huyo kwenye sheria na siasa huko, huku michezo hatuhitaji wazee, tunahitaji vijana
Anyway karibu lakini Kinyonge sana, vijana hatujaridhishwa na uteuzi huu japo tunaheshimu maamuzi ya mh Rais