Kwani wazee hawataki kumkula zuchu...mbona msicha mrembo kabisa yule mali safi kwa kuliwaYaani Kabudi akahangaike na Zuchu? Hii ni dharau sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wazee hawataki kumkula zuchu...mbona msicha mrembo kabisa yule mali safi kwa kuliwaYaani Kabudi akahangaike na Zuchu? Hii ni dharau sana
Huyu prof inabidi awasaidie kurwa na doto kufika nusu fainali.Mzee wa mbususu hauko mbali
🤣🤣🤣🤣 Hatari. Awe anaenjoy na waremboProfessor inatakiwa astafu afurahie kiinua mgongo chake pale Kitambaa cheupe
Huyu mzee anachezewa sio kuteuliwa kutona na uchawa wakae. Hili zee na michezo wapi na wapi? Nakubaliana na kuteuliwa waziri wa sanaa kwa sababu aliyemteua ni msanii naye ni msanii.Mama ana visasi vya ajabu sana huyu.
Hakuna mtu asiye na utamaduniHivi utamaduni ni hip op ,reggae,na singeli ,Ngoma- basi? Ndugu zangu tumepotoka saaana Kama tunawaza pafupi hivyo. Ninavyoelewa utamaduni yaani "culture"
Culture is the total way of life au jumla ya Mambo yote yanayomfanya mwanadamu awe Kama alivyo, mfano wa Mambo hayo kwa uchache ni Kama ifuatavyo:-
1.Mila na desturi
2.Vyakula
3.Mavazi
4.Lugha
5.Ndoa
6 Maadili
7Sherehe
8.Matambiko
9.Dini
10 Uchumi na biashara
11.starehe na burudani
12.Mirathi,vifo na kuzikana
13 Jando na unyango
14.Nk
Kutokana na yote hayo Sasa na mengine nisiyoyataja pima Sasa Kama professa kabudi anatosha hapo au hatoshi,je hiyo wizara ni ya kupewa vijana tu? au watu wazima jibu utapima mwenyewe
Hamtaki misamiati mipya ya Kiswahili?Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake
Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai
Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria
Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani watu wa football, hip hop, singeli, bongo movie na kadhalika, 99% ni vijana
Sasa Leo amekuja Mzee mstaafu kuongoza hii wizara, kwakweli naona viatu ni vikubwa havimtoshi.
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Kwanini mh Rais asimwamini mwana FA akawa waziri kamili wa sanaa na michezo kwakuwa Bado ni kijana
Mh Rais mpeleke Professor Huyo kwenye sheria na siasa huko, huku michezo hatuhitaji wazee, tunahitaji vijana
Anyway karibu lakini Kinyonge sana, vijana hatujaridhishwa na uteuzi huu japo tunaheshimu maamuzi ya mh Rais
Hivi mtu akiwa na umri mkubwa vinono Havioni?Yaani Kabudi akahangaike na Zuchu? Hii ni dharau sana