Kabudi unamfahamu wewe!?Mama ana visasi vya ajabu sana huyu.
nasubiri taasisi ya kusimamia mikataba ya serikali aliyoisema kabudi kwamba serikali itaiundaNaheshimu sana mamlaka za uteuzi wake
Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai
Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria
Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani watu wa football, hip hop, singeli, bongo movie na kadhalika, 99% ni vijana
Sasa Leo amekuja Mzee mstaafu kuongoza hii wizara, kwakweli naona viatu ni vikubwa havimtoshi
Kwanini mh Rais asimwamini mwana FA akawa waziri kamili wa sanaa na michezo kwakuwa Bado ni kijana
Mh Rais mpeleke Professor Huyo kwenye sheria na siasa huko, huku michezo hatuhitaji wazee, tunahitaji vijana
Anyway karibu lakini Kinyonge sana, vijana hatujaridhishwa na uteuzi huu japo tunaheshimu maamuzi ya mh Rais
Yaani Kabudi akahangaike na Zuchu? Hii ni dharau sanaMama ana visasi vya ajabu sana huyu.
Sasa Kabudi atahangaika na ZuchuIpo siku ukijaliwa uhai, utakuwa mzee na utagundua kuwa kubaguliwa kwa sababu ya uzee wako si jambo jema.
Kumbuka kila mzee aliwahi kuwa kijana ila si kila kijana atakuwa mzee. Yaani ni rahisi sana kwa mzee kuyajua ya vijana kuliko kijana kuyajua ya wazee.
Vijana siku hizi wanadhani wao ndio wanastahili kuwepo duniani kuliko rika nginginezo.
Hana visasi, katiba inamruhusu.Mama ana visasi vya ajabu sana huyu.
Mzee wa watu anapelekwa wizara ya Harmonize mpenda matako makubwa 🤣 inabidi labda aote mapembeKabudi kadharauliwa mnoo, bora akatae huo uteuzi.
Yeye sio wa ku deal na BASATA, lol.
Sidhani kama ataendana na kasi ya mabadiliko katika tasnia ya habari.Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani watu wa football, hip hop, singeli, bongo movie na kadhalika, 99% ni vijana
Serikali ina-deal na mifumo sambamba na sera bora za maendeleo. Sasa who is Zuchu! Kwamba Kabudi inampasa kumshauri au kumtungia mashairi ili aendee ku-hit kwenye music industry... hoja yako ni ipi!?Sasa Kabudi atahangaika na Zuchu
Atakuwa nyimbo Gani za hip hop au singeli zinatamba Kwa wakati huu.
Anaijua wapi mifumo ya michezo ya football au boxing 🥊
Huyo Mzee hatoshi hukuSerikali ana-deal na mifumo sambamba na sera bora za maendeleo. Sasa who is Zuchu! Kwamba Kabudi inampasa kumshauri au kumtungia mashairi ili aendee ku-hit kwenye music industry... hoja yako ni ipi!?
Tunahitaji watu bora au sera bora kwa maendeleo ya kila idara...!!
Hiyo nafasi upewe wewe, maana we ni mdogo kwa mwanaFA. Kama umri kwako ni kigezo kikuu.Huyo Mzee hatoshi huku
Dunia inakimbia
Unadhani kwakuwa ni professor anaweza kila kitu