Waziri mpya wa Sanaa na Michezo (Prof. Kabudi) naona hatoshi huku

Hivi utamaduni ni hip op ,reggae,na singeli ,Ngoma- basi? Ndugu zangu tumepotoka saaana Kama tunawaza pafupi hivyo. Ninavyoelewa utamaduni yaani "culture"
Culture is the total way of life au jumla ya Mambo yote yanayomfanya mwanadamu awe Kama alivyo, mfano wa Mambo hayo kwa uchache ni Kama ifuatavyo:-
1.Mila na desturi
2.Vyakula
3.Mavazi
4.Lugha
5.Ndoa
6 Maadili
7Sherehe
8.Matambiko
9.Dini
10 Uchumi na biashara
11.starehe na burudani
12.Mirathi,vifo na kuzikana
13 Jando na unyango
14.Nk
Kutokana na yote hayo Sasa na mengine nisiyoyataja pima Sasa Kama professa kabudi anatosha hapo au hatoshi,je hiyo wizara ni ya kupewa vijana tu? au watu wazima jibu utapima mwenyewe
 
NCHI YETU YA HOVYO SANA SANA.

KABUDI NDIO ALIPASWA KUWA THINKING TANK YA TAIFA.

ANAPELEKWA KUSHINDANA NA AKINA ZUCHU.


HII NI AIBU MNO.
MAMA HANA AKILI.
 
Mama ana visasi vya ajabu sana huyu.
Huyu mzee anachezewa sio kuteuliwa kutona na uchawa wakae. Hili zee na michezo wapi na wapi? Nakubaliana na kuteuliwa waziri wa sanaa kwa sababu aliyemteua ni msanii naye ni msanii.
 
Hakuna mtu asiye na utamaduni
Sisi tunazunguzia kiwanda cha sanaa na michezo huyo waziri kikongwe ataweza?
 
Hamtaki misamiati mipya ya Kiswahili?
 
Ila ki ukweli hivi hakuna sura mpya kwny teuzi?? Hii inchi inaboa...
 
Kwangu nimeona ni dharau ya wazi hii ..uyu mzee alifaa apo apo kwa taaluma na ubobezi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…