niko na classfied information, hii kiwada kilikuwa kijengwa tz, lakini wawekezaji wakaletewa lots of REDTAPE, na ndio wakahamia rwanda, pale rwanda kufungua kamupuni na kufungua account ya banki ya hio kamupuni yako ni kaa masaa 24 pekee, na kila kitu kinafanyika online, jaribu kufungua kamupuni au kuregister kamupuni hapa kwetu, utapata maumivu makali kuliko mama ambae anajifungua,tz tuna kila kitu, lakini underccm we are heading nowhere, sasa nani atawekeza katika taifa ambalo inamubadikia kesi ya ugaidi kiongi wa upizani, for sure tz will remain poor under samia